Twitter yazuia akaunti ya kampeni ya Donald Trump kwa kuposti taarifa potoshi kuhusu COVID-19

Let's assume kwamba alichosema ni chaka, Je wao wamekuwa polisi wa mitandaoni kuwapangia watu waandike nini na wasome nini? No wonder kizazi cha social media kimejaa cry babies.

Social media majukwaa ya watu kubadilishana taarifa na mawazo. Sio kazi yao kudanya upolisi mitandaoni.

BTW kuna madaktari walikuwa na kikao Washington wakaja na Azimio kuwa dawa ya Covid ipo. Wameifuta hiyo video kila mahali. Hii inapiga kelele huu ya agenda waliyo nayo hawa watu. Deeper and far reaching conspiracy
 
Twitter wanafanya censorship sana kwenye conservative ideas,washalaumiwa sana ila bado hawajakoma,leo mtu akipost utoaji mimba ni mauaji wanasema ni hate speech wanaifungia..
Hii issue ya Covid-19 kule USA kuna kitu behind it ambacho hakiko sawa,wala watu hawajisumbui kufikiria,mainshream media false narrative zimewaharibu sana..
 
Niliiona ile video,daktari fulani ana asili ya ki nigeria hivi...Tena dawa yenyewe ni Hydroxychloroquine,zinc n.k na inauzwa chini ya 50$,.Big pharma companies wametengeneza dawa zao uchwara wanacharge kila patient 2,500$ hadi 3,000$ ha akiwa na bima.Bado watu hawaponi wanazidi kufa na wao wanaendelea kuuza ventilators na dawa zao feki.Trump kashashtukia mchezo mapema tu,sema hakuna anayemskiliza tena,Dr Fausi nae ashapoteza credibility,haeleweki tena.
 
Mtazamo wako uko vzr sana
 
Unawaza kwa niaba ya Trump! Duu umetisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…