Loh jamaa kaharibu birthday ya binti moja kwa moja, binti kabaki anahangaika tu - surprise birthday present! Sijui kama hatakula kipigo hasa kwa yule jamaa wa pili alikuwa anasikika kama amechukia kweli.
Binti anajitetea eti 'my mother is listening to this' lakini mtangazaji anamwambia 'I dont give a damn - you should not be dating two guys at the same time'.
Halafu kabinti kenyewe kana miaka 21 tu si ndiyo maambukizi yenyewe hayo. Tena kule kule southern africa kutokana na hilo jina (Ndombi - siyo spelling yake sahihi)