sema tuu Kaizer!.....hii ni discusion forum kila mtu yupo entitled kusema anavyotaka yeye....
P:S
Alafu umesharudi vacation nini?....welcome back baba watoto
...lol, acha maskhara bana... mambo ya u "top gay" huko huko kwa kina 'Muthokoi, Githeri' na Wanjirus bana, Not in Tanzania bana... 😀
Hata lesbian nao ni laana tu, mwanamke mwenye hisia kamili za kimapenzi utapata raha gani toka kwa mwanamke mwenzio!! Hawa watu somethings wrong kwenye brain zao.
Denial denial denial... it is a city in northern egypt, hahaha.
If it happens with a Kenyan, there is good chance for a Tanzanian, perhaps your neighbor, perhaps your friend, or someone from thy family.
The bottom-line is that evryone only know their own-self. And some of us don't even know their own damn self.... Don't speak for Tanzanians becoz it makes you feel comfortable. Speak for yourself.
Kudos to the daring Kenyans. Go the distance man!! haha
Well said BLURAY!...Kila mtu na maisha yake sioni sababu yeyote ya mtu kusema ooh kinyaa!....kuna wengine wanajidai kinyaa na usikute ni bisexual (on the down low).....Mtu ametokea kuwa Gay unataka afanye nini ajiue/anjinyonge au umpigie risasi as long as they don't envade your privacy what do you care....kila mtu na maisha yake kwa kweli...
Hongereni saana tuu Ngengi na Chege....i wish you happy marriage....
zaidi ya hatareeeeeeeeeeeeeeeeehatareeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
mh angalia tu hata wewe hutauliza hasa kwenye picha ya kissHapo ni yupi anayepumuliwa kisogoni mkuu?