Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,509
- 3,756
Titus Fedha, Haji Shariff na Suleiman Salum wanadaiwa kujipatia kiasi cha Ksh. Milioni 2 (Takribani Tsh. Milioni 44.4) kwa kudai kuwa waliweza kulisafisha shamba la Harbans Singh dhidi ya nguvu za giza
Washtakiwa hao walidai shamba hilo lililopo Westlands, Nairobi lilikuwa na nyoka na mambo mengine ya nguvu za giza zikiwemo simbi, vibuyu, unga mweusi na aina mbalimbali za nguo
Aidha, Mahakama ilielezwa kuwa Watuhumiwa hao walisema kuwa vitu hivyo vya nguvu za giza katika shamba hilo vilitakiwa kusafishwa kwa kumchoma nyoka na kutupa majivu yake katika bahari ya Hindi
Inadaiwa kuwa Watuhumiwa hao kwa pamoja walimlaghai Singh na mke wake kuwapa fedha hizo ili kununua mafuta maalumu ya kumchoma nyoka huyo, lakini baada ya kukabidhiwa fedha hizo walitoroka
Hata hivyo, Watuhumiwa hao walikana mashtaka hayo na waliachiwa kwa dhamana baada ya kulipa bondi ya Ksh. 300,000 na kesi hiyo itaendelea Septemba 26, 2019
******
Two Tanzanian nationals and a Kenyan were Tuesday charged with defrauding a man over Ksh.2 million pretending that they were able to cleanse his land of witchcraft.
The three suspects; Titus Fedha, Haji Shariff and Suleiman Salum, allegedly obtained Ksh.2 million by claiming that a piece of land belonging to Mr. Harbans Singh which he intended to sell had evil spirits.
The suspects claimed that Singh’s land located in Westlands, Nairobi had a snake and other witchcraft paraphernalia including cowry shells, gourds, black powders and assorted clothing.
The court was further told that the accused persons purported that the witchcraft paraphernalia required cleansing by burning the snake and scattering its ashes into the Indian Ocean.
The three also faced other counts among them cheating.
It is alleged that the three convinced Singh and his wife to part with the money for buying special oil to burn the snake, after which the suspects disappeared.
They denied the charges and were released on a cash bail of Ksh.300,000 each.
The case will be heard on September 26.
Detectives from the Directorate of Criminal Investigations (DCI) raided a house in Kileleshwa belonging to one of the suspects, Haji Shariff, where they recovered a suitcase containing the witchcraft paraphanelia