Two world on single earth

Ni maoni yako, usilolijua huyo kina aliye changamka ndio mama wa uzao wote, pamoja na hao weupe unao wahusudu... human evolution.
 
Ni maoni yako, usilolijua huyo kina aliye changamka ndio mama wa uzao wote, pamoja na hao weupe unao wahusudu... human evolution.
Kima kutoa uzao wote huo haimuondolei sifa yake ya kuchangamka!
 
Tunaogopa COVID Tunaogopa Chanjo yao. Wa afrika kwa sasa tumejanjaruka kwanini mpaka leo karne ya Technology tutegemee Wazungu?
 
Tunaogopa COVID Tunaogopa Chanjo yao. Wa afrika kwa sasa tumejanjaruka kwanini mpaka leo karne ya Technology tutegemee Wazungu?
Hazima hata mshpa wa aibu. Hiyo tech unayoizungumzia kwa namna yoyote ile ni yao.

Ama ndiyo baniani mbaya kiatu chake dawa?
 
Trash ni kuogopa chanjo.Ugonjwa wa Ndui ulitishia kuangamiza entire population ya dunia kipindi hicho lakini chanjo iliingilia kati na ku-rescure situation.Siku zote heshimu sana vitu viwili:
1.Mungu
2.Sayansi
 
Hii issue nzito ukijiingiza uta jimix
Ibakie hiari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…