Tyfod wapendwa tiba yake ni nini

Typhoid ipo inayosababishwa na bacteria na inayosababishwa na virus. Bacterial typhoid inatibika kwa course ya antibiotics. Ni muhimu upate vipimo na ushauri wa daktari.
 
Typhoid ipo inayosababishwa na bacteria na inayosababishwa na vitus. Bacterial typhoid instincts na course ya antibiotics. Ni muhimu upate vipimo na ushauri wa daktari.
Zingatia hili.

Kabla nabrush ubongo wangu
 
Thphoid huu ugonjwa hapa nchini umekuwa kama outbreak hapa nchini

Kila unayekutana naye anakwambia ninaumwa typhoid kitu ambacho sio kweli

Dispensaries na hospital zinatumia vipimo ambavyo accuracy yake ni ndogo sana kuhusu hii kitu
 
Naombeni msaada wa tiba ya tyfod iishe kabisa imenisumbua sana .

Kwanza kabisa pima ujue kama ni yenyewe maana dawa ni nyingi.
Unaweza kutumia Ciprofloxacin tabs 500mg ila kwa ushauri hapa ukipata brand za Egypt, Greece au Germany uhakika sana.
 
Typhoid ipo inayosababishwa na bacteria na inayosababishwa na virus. Bacterial typhoid inatibika kwa course ya antibiotics. Ni muhimu upate vipimo na ushauri wa daktari.
Hakuna typhoid inayosababishwa na virus
 
Ciprofloxacilin 500mg bd siku 10

Kama umewahi kutumia hii na tatizo linarudi mara mara kwa ni vyema ukafanyiwe kipimo cha Blood culture & sensitivity

Kujua ni antibiotic gani itakufaa zaidi
 
Typhoid ipo inayosababishwa na bacteria na inayosababishwa na virus. Bacterial typhoid inatibika kwa course ya antibiotics. Ni muhimu upate vipimo na ushauri wa daktari.
U kill it... typhoid ya virus ndo ipi mama. Naomba uni fundishe ni ijue kidogo.
 
Naombeni msaada wa tiba ya tyfod iishe kabisa imenisumbua sana .
Typhoid a.k.a enteric fever. Ina tibika vizur tatizo ni ww. Kinga ni nzuri kuliko tiba. Tuanze na tiba typhoid ni ugonjwa unao sababishwa na gram negative bacteria ivyo basi una tibiwa na antbiotic. Rx inj. Ya powerceff kama start then una mweza cipro mg 500b/d 10/ 7 au azythromycin 500mg Od 9/7.
ni kipi haswa kina fanya unaona typhoid hai ishi mwililini.? Ni kwamba ukisha tibiwa typhoid vijidudu wana kufa lakini wana tabia yaku acha antbody kwenye serum ambayo ina uwezo waku kaa ad miezi 6. NOTE kuwa antbody ni kama majimaji ivyo huwez yaua, incase uki pata homa ndani ya miez hiyo 6 ukienda pima bado utaonekana una typhpid lakin ukwel ni kwamba vimelea wa typhoid wanakuwa wame kufa ila antbody ndizo zinazo baki. Na maabara nying mtaani huwa zuna fanya screening tu. Wana fanya serology test wana pambanisha known antigen za salimonella ambazo ni comercial prapared na antbody ambazo zko mwlini mwako ivyo kama ulisha ugua siku za karibu typhoid ita soma tu. Pia kingine ni udanganyifu wa bahadhi ya maabara kwani syo sahihi kupima typhoid na kupewa sku hyo majib. Ni lazima wa thibitishe kwaku fanya mastertitration ambayo majibu hukaa masaa 24. So ukipima mahali ukapewa majb sku hyo hiyo ujue ushaliwa.

ili kuweza kupata majibu sahihi ya typhoid ni vizur kufanya culture& sensitivity..ni vitendo vyaku wahotesha wadudu wa typhoid na kuwawekea dawa.
Njia zi sababishao typhoid ni maji yasiyo chemshwa, matunda na mboga mboga, unaweza ukawa una pata tiba sahihi lakin haufati njia sahihi zaku zuia typhoid ivyo ni sawa naku jisumbua. Lakn pia mtu unavyo zidi kaa na typhoid mda mrefu una weza pata magonjwa mengne kama UTI, mambukiz ya mifupa na ata ya kifua. Na ata bacteria kwnye damu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…