Ingekua vema ungeainisha unahmuhitaji kwa shughuli gani na details nying za msingi, maana kikawaida watu wanakua busy na matangazo kama haya ni rahisi kupuuzia maana kama mleta tangazo hawezi kueleza vizuri mahitaji yake kamili utajiuliza je atawezaje kumeet standards za maelewano mengine?