Je umepima na ukaambiwa una typhoid fever? Kama ndiyo,umepimwa wapi? hospitali?(kwanini hukupewa dawa?)
Anyway,ciprofloxacin is the drug of choice kwa typhoid,(1 mara 2 kwa 10/7).
Kwasababu ya kuongezeka kwa bacterial resistance,chloramphenical is no longer a drug of choice for typhoid.