Typing errors za smartphones

Hahahha hi nmeipenda sana corona ikiisha ntaifanyia stands up comedy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salama kwema huko=salaam kwenda huko
Mambo vipi =mumbo vipi
Hawajambo= hawajambi
Kuna= kum**** (kumradhi) wakuu
Lile=like
 
Nambie Dogi badala ya nambie Dogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Dooh
 
Kuna mdau alitumiwa sms na baba yake ambae walishaachana na Mama ake akimwomba asisahau kumuekea msosi badala ya kujibu "poa " akajibu "oa". Nadhani mnafahamu kilichofuata
 
Kwenye kuandika andika kizungu nliwahi mtumia sista text "I'm horny" badala ya I'm hungry
Aisee!
 
Ila una-stream[emoji23][emoji23][emoji23]
hiyo delete for me imenikuta majuzi tu. Bahati yangu hakikuwa kitu kibaya.
Ninachoshukuru mimi huwa nina sheria zangu sikai na picha au video za ajabu kwenye simu yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…