Typing errors za smartphones

Hahaha " mawasiliano yaliendelea bila mjadala wa lile kosa" imekaa kizazi sana
 
Leo badala ya kuandika ni jumapili badala ya J ikajiweka K duh......
 
Auto correct ya kichawi sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamanii
 

Binti pia kakausha, hehehehe!!!
Aibu za hovyoo sana, ila huwatokea wenye kupenda kutumia maneno machafu ambapo simu huwa inayatunza na kukufanyia auto-correction, inajazia na kukuwekea neno chafu ambalo hukukusudia.

Mimi imewahi kunitokea nilikusudia kutuma ujumbe kwa demu fulani tuliyekua tunataniana na kuitana honey, niliutuma ujumbe kwa binti, japo haukua ujumbe mchafu ila nilihangaika akili sana, sema naye kakaushia tu.
 
Mzee haingiagi whatsApp mara kwa mara sasa siku moja nikaona nikaona kaview status yangu sasa nikamuuliza huna bango leo... nikaona ona nimekosea kuanza ikabidi una sasa ile kuandika nikaandika una bangi duh afu na sio hiyo nilikua nakula vitu vyangu mhmm hapo hapo simu ikapigwa ehee we kijana vip tena kuniuliza kama nina bangi dah tuliishia kucheka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…