Tyra Banks, America super model to visit Tanzania.

Tyra Banks, America super model to visit Tanzania.

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
She wants to come and see the big 5. In Tanzania. Hivi Kenya hakuna big 5?? Check out @TheGuardiantz’s Tweet:
 
Saaafi sana!
Mola yuko upande wa nchi yetu Tanzania ni nani atathubutu kuwa juu yetu?
 
Nothing mo nothing less! Waliishakuja wakuja na wakaendelea kuja na kuja cha ajabu walikuja na kutukuta tukiwa masikini na wakatuacha tukiwa mafukara!! To hell with your big 5! Nyambaff
 
Nothing mo nothing less! Waliishakuja wakuja na wakaendelea kuja na kuja cha ajabu walikuja na kutukuta tukiwa masikini na wakatuacha tukiwa mafukara!! To hell with your big 5! Nyambaff
Anakuja kuacha pesa. Mimi kama mmoja ya watu nae wekeza kwenye utalii ni fursa kwangu tena kubwa. Huyo kijana Benja pia anaingiza pesa. Kila anapoleta watalii kutoka marekani kuna pesa anaingiza. Kuna wanafunzi aliwaleta hapa TZ wakaacha wamegawa solar kwenye visiwa vya Zanzibar. Hayo pia ni maendeleo.
 
Inaonekana kuna upepo mzuri kwa upande wa utalii hapa tz. Taasis husika zitumie fursa hii kuitangaza hii nchi zaidi
Nachoweza kuwambia vijana wa Tanzania anzeni kuwekeza kwenye utalii. Mimi nimeanza. Ni industry yenye pesa nzuri sana. Fanyeni kwakushilikiana.Check out @zittokabwe’s Tweet:
 
Back
Top Bottom