Huyo ndo nani ????HATA Meretersacker anakuja augost
Umeongea kweli mkuu,hehe ila mkuu unahasira sana aisee,Nothing mo nothing less! Waliishakuja wakuja na wakaendelea kuja na kuja cha ajabu walikuja na kutukuta tukiwa masikini na wakatuacha tukiwa mafukara!! To hell with your big 5! Nyambaff
Nachoweza kuwambia vijana wa Tanzania anzeni kuwekeza kwenye utalii. Mimi nimeanza. Ni industry yenye pesa nzuri sana. Fanyeni kwakushilikiana.Check out @zittokabweβs Tweet:
yaani vipofu wawili wanavukishana bara bara! lazima pafe mtu aisee.Hii ni kweli sana mzee ..sasa ni vizur kuanzia sector gan kwenye tourism?
hotels sector
Tours sector
Advertising sector
Unavyoona wats the best?
ππππππmbavu zangu jameniyaani vipofu wawili wanavukishana bara bara! lazima pafe mtu aisee.
Punguza hasiramwache utumwa bana...tyra katembelea tanzania that's great...but there's no need of opening a thread to ask if the big 5 doesn't exist in Kenya...by the way, the big 5 also exists in Botswana, South Africa, Zimbabwe na kadhalika...no big deal...tyra is not a godess..ungeleta uzi kama habari tu..mfano tyra banks kutembelea tanzania....sio platform ya kulinganisha nchi mbili au kujaribu kupimana mikojo...tabia za kipumbavu hizi...hakuna nchi ya ulaya inaweza kuanza kukejeli nchi ingine kwa sababu ya kutembelewa na Magu, Platnumz au Uhuru so why should we?..
Cheza na tours sector. Au anzisha online booking. Haitaji mtaji mkubwa ndouzuri wake. Trust me you can become a $Millioner in this sector.Hii ni kweli sana mzee ..sasa ni vizur kuanzia sector gan kwenye tourism?
hotels sector
Tours sector
Advertising sector
Unavyoona wats the best?
Nakuona bingwa wakusafisha choo za waarabu Dubai. Nasikia wa Kenya huko Dubai mambo yamewakilia vibayaππyaani vipofu wawili wanavukishana bara bara! lazima pafe mtu aisee.