Kwenye Tyre nakubali sana Bridgestone.Nahitaji tyre za GOODYEAR (efficient grip) size 185/65r/15 88H. Genuine product from South Africa...
Yes zipo.Bridgestone wana hizo size ndogo? 185/65r/15
Ni sifa zipi hasa zilizokufanya uikubali zaidi Bridgestone kuliko tyre zingine mkuu
Imara sana mkuu ,unaweza kutembelea hadi nyaya zinaonekana lakini inadunda.
Halafu mafundi wanasema "MGUU WA JINI" ni imara sana ingawa unavion vidogo...Kama vipi unaweza kufunga "MGUU WA JINI".
View attachment 1720088
Watu wa Ntwara wanasema huo ni NKATABATA.Mkuu nimeifuatilia Bridgestone. Kweli ni mguu wa uhakika. Na bei zake zimechangamka
NilichanganyaNimewatafuta superdoll.
Hawana Goodyear.
Wanazo Michelin na BFGoodrich tu.
Bei zipojeMkuu nimeifuatilia Bridgestone. Kweli ni mguu wa uhakika. Na bei zake zimechangamka
mbona Michelina na BFGoodrich wako vizuri tu, chukua hizo thenNimewatafuta superdoll.
Hawana Goodyear.
Wanazo Michelin na BFGoodrich tu.