Tyres Used nzuri kwa Bei Rafiki

Tyres Used nzuri kwa Bei Rafiki

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Nahitaji Tyres used ambayo toka itengenezwe haijafikisha miaka 5. Iwe haijachongwa. Size 235/70/15.

Ushauri wa kununua mpya kaa nao. Nmesema nataka used. So usilete habari za kike. Maana wadada na wale wenzao mchicha mwiba hushauri jambo ambalo hawajaulizwa.

NATAKA TYRES USED 4. ZISIWE ZIMETUMIKA ZAIDI YA MIAKA 5.
 
Ukipata niulizie na mimi 245/45/R18 mbili napata kwa bei gani
 
Nahitaji Tyres used ambayo toka itengenezwe haijafikisha miaka 5. Iwe haijachongwa. Size 234/70/15.

Ushauri wa kununua mpya kaa nao. Nmesema nataka used. So usilete habari za kike. Maana wadada na wale wenzao mchicha mwiba hushauri jambo ambalo hawajaulizwa.

NATAKA TYRES USED 4. ZISIWE ZIMETUKA ZAIDI YA MIAKA 5.

Mkuu Komeo Lachuma bei ya Used Tyre ni karimu 2/3 ya bei ya tyre mpya hivyo nashauri uwe mwangalifu. Ni uzoefu kidogo wa nilichoandika, uamuzi ni wako.

NB: Nimeona tangazo la Binslum katika bango fulani inaonekana kama wana bei za chini

Ahsante
 
Hakuna no 234/70/15 kwenye tyre kwanza hakikisha no ya tyre vizuri
 
" Nmesema nataka used. So usilete habari za kike. Maana wadada na wale wenzao mchicha mwiba hushauri jambo ambalo hawajaulizwa.

NATAKA TYRES USED 4. ZISIWE ZIMETUKA ZAIDI YA MIAKA 5."

Ila unaongea kwa ukali sana...
Unatufokea sana...[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Halafu hii namba 234/70/14 imekaaje boss
 
Hilo suala dogo tu mtu mzoefu anajua ni kosa la kutype so anajiongeza tu na kujua ni 235. Huwa haiumizi hata kichwa.
 
The fundamental cause of the trouble is that in the modern world the stupid are cocksure while the intelligent are full of doubt....teh😜
 
The fundamental cause of the trouble is that in the modern world the stupid are cocksure while the intelligent are full of doubt....teh😜
1606507544485.png
 
Back
Top Bottom