Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli kabisa.Mtoto akililia wembe mwachie,huyu bronze bomber atakuja kuuwa mtu siku moja.
Watu wana mjaza ujinga AJ ,bronze bomba atakuja kumuua.
Mwenzio ashakumbana na kipigo pale alipolala sakafuni round #12. Wewe ni Nani Mpaka ukambishia mtu aliyekwisha test ngumi za Wilder???Aseme kwa niaba yake...
Kama yeye (fury) ameshindwa kumkalisha wilder aache wenye uwezo wa kufanya hivyo wafanye...
Wilder hits hard but AJ hits harder
Fury na Ortiz sio uthibitisho wa ubabe wa Wilder ila ilikua ni njia tu ya kupata kibali kupigana na AJ na sasa ameshakipata tutegemee kutangaziwa pambano muda wowote kuanzia sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenzio ashakumbana na kipigo pale alipolala sakafuni round #12. Wewe ni Nani Mpaka ukambishia mtu aliyekwisha test ngumi za Wilder???
AJ hata huyo King Kong (Ortiz) hawezi kumkalisha.Aseme kwa niaba yake...
Kama yeye (fury) ameshindwa kumkalisha wilder aache wenye uwezo wa kufanya hivyo wafanye...
Wilder hits hard but AJ hits harder
Fury na Ortiz sio uthibitisho wa ubabe wa Wilder ila ilikua ni njia tu ya kupata kibali kupigana na AJ na sasa ameshakipata tutegemee kutangaziwa pambano muda wowote kuanzia sasa
Upiganaji wa wilder ni wakitoto japokuwa ana punch kubwa..ko zote alizowapiga wapinzani wake ni zile za kutahamaki jab imeshafika usoni ila technically hayupo vizuri huyu bwana..akikutana na mtu mjanja na fundi kama AJ hakika kete yangu mimi ntaitupia kwa AJ..sema tusubiri labda one day yes hili litatokea
Aj anapigana kwa tactics ni kama mayweather tu very defensinve anapiga shots zake accurate sana na chache. He is always waiting mpaka round za baadae mpinzani wake aanze kuchoka ndo aatack with full power. Wielder is rather different yeye anapiga hardest shots zake mwanzoni mwa pambano. Anapiga bila plan shots zake nyingi sio accurate points zinakuwa chache wakati anapoteza nguv nying mno. AJ akiweza kumcontain mpaka round za mbele anachokaga kinoma wakati aj round zinavyoenda anazid kuwa balaa. I see AJ winning a KO on late rounds againts wielderMkuu mapambano 40 kawapiga watu ko,ndio technic yake hiyo.huyo aliyepigwa jana na bronze bomba,AJ kaenda nae around 7.bronze bomba kamkalisha within a second tu .
Endeleeni kumjaza AJ ujinga kama atampiga wilder.
Dillian Whyte anamtamani sana Wilder, alimind sana hiyo mandatory fight kwenda kwa Breazeale badala yake. Mashabiki wa Dillian wanamjaza upepo kwamba anaweza kumpiga Wilder kwavile ameiprove sana baada ya pambano lake na AJ. Sema Whyte naye yuko njema, hata kama Wilder atampiga haitakuwa kiboyaboya kama brazamen wa janaTyson Furry ukipenda muite Gpsy King akiri wazi wazi kwamba Wilder ndiye toughest heavyweight kwa sasa na ndiye the most hardest counter puncher ever, awaonya AJ pamoja na Dillian Whyte wasijiroge kupanda ulingoni na Deontay Wilder watafia uwanjani .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tyson Furry ameshasema wewe nani mpaka ubishe?View attachment 1102284
Labda uko sawa..mi pia am salivating to an AJ VS Bronze Bomber bout.Ila hapo nilipo bold mkuu NDIO NGUVU YA JAMAA KAMA ILIVYO NGUVU YA MAMBA MAJINI!Nigga's fucking quick and one hell of a puncher.The only technic inaweza work against him ni kukaa mbali nae.shida ni kwamba ana wing span kubwa so anaweza kukufikia akapata points pia.If you choose to ''all out'' against him wala hutajua kilichokupiga,utashtuka tu uko MOI.Nilichoona jana kimenishtua sana na nafikiri hata AJ kashtuka zaidi aisee!!Upiganaji wa wilder ni wakitoto japokuwa ana punch kubwa..ko zote alizowapiga wapinzani wake ni zile za kutahamaki jab imeshafika usoni ila technically hayupo vizuri huyu bwana..akikutana na mtu mjanja na fundi kama AJ hakika kete yangu mimi ntaitupia kwa AJ..sema tusubiri labda one day yes hili litatokea
Kiukweli he's really unorthodox,vile vikanuni vya ngumi wala hana aisee.Ila punch zile kama zinafyatuliwa na mashine..kha!Niliona Tyson Fury alichokua anafanya wakati wa mechi yao and it took him to 12th round...anakaa mbaaaali trying to tire him na kukimbia kimbia,japo Fury pia mrefu.Go all out against this animal and risk loosing your memory.Naupenda huu mchezo, ila wilder is real bomber aisee, sema technically sio mzuri kwenye defensive ila akikupatia