TYSON FURRY amsujudia Wilder, awaonya AJ na Dillian Whyte wasiombe mechi na Wilder watafia uwanjani.


pambano la juzi mda unavozidi kwenda ndivo aj alivokuwa anazidi kuchoka,,mwisho wa siku kapigwa na chibonge aibu sana
 
Huyu AJ ni mzuri ila tatizo ni Pumzi. Jamaa anatakiwa kufanyia kazi sana ilo suala otherwise namuona yuko gwud na anaweza mkalisha Wilder vizuri tu
 
Write your reply..shikamoo tyson furry kwa kumkanya aj
 
pambano la juzi mda unavozidi kwenda ndivo aj alivokuwa anazidi kuchoka,,mwisho wa siku kapigwa na chibonge aibu sana

Mazoezi yote aliyokuwa anafanya hakuna kitu yaani alikuwa kalegea mpaka unajuiliza vipi mbona huyu kakomaa sana vipi mbona? Akirushiwa konde anaziba tu sura,rudisha majibu kwa kurusha ngumi.
 
Mwenzio ashakumbana na kipigo pale alipolala sakafuni round #12. Wewe ni Nani Mpaka ukambishia mtu aliyekwisha test ngumi za Wilder???

Mkuu nikikumbuka nacheka sana, alikula bomba moja akalala kama dk 5 hv 🤣🤣
 
AJ anamapungufu mawili makuu

1. PUMZI INAKATA MAPEMA RND 5 HV

2. ANARUHUSU SANA NGUMI KUMFIKIA, HAJIZUII KIKAMILIFU
 
Wilder ana mkono mzito sana, jaribu kuangalia clip zake ndio utanielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…