Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,057
- 7,611
Tokea Uhuru hata leo mmekwenda afcon mara mbili tu na bado hamjui hiyo ni rekodi kwenu na ndo heshima yenu hiyo, bahati mbaya nyie siyo watu was rekodi na rekodi kwenu si lolote tofauti na wenzetu nje.
Leo mnajifanya kuongea sana na mnasahau nyinyi kila mwaka mmekuwa na nafasi na hamkuwahi kupita na hao makocha wenu lakini leo eti mnamkandia Amonike. Kivipi wakati kama in history tayari kawapa tens?
Mlitakiwa Ku acknowledge Kabla ya kumkebehi kocha. Na hata mkimtusi haimsumbui kwasababu tayari profile yake leo inasomeka kawapeleka afcon after 39 yrs, history itamuenzi Amonike.
Serikali ifanye mikakati mtibwa club igeuzwe academy ya kukuza, kueñdeleza na kuzalisha vjana was timu za taifa Mani wanao Uzoefu na uwezo was kulea na kukuza vipaji. Kama ni hostel zijengwe kule n.k ndo tutaweza kuvuna matunda ama sivyo tusahau kuhusu soka Tz.
Leo tunawashangaa waganda na tunasahau hawajafika hapo over night, bali it has taken a lot long ago ..Roma haijengwi kwa siku moja, last time walikwenda wakafungwa wakarudi na point Moja tu na wakaendelea kujiweka vyema na sasa wako determined kufika robo fainali. Nyinyi mnataka iwe once for all, impossible. Tuseme sisi ni bora kuliko Uganda, kwa lipi? Labda kama hamuifahamu vizuri timu yenu, mpira ni investment, mpira ni science.
Msiniquote vibaya