.TZ Domain name hatimaye

Samedi Amba

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
227
Reaction score
178
Habari wanajamvi,

Hapo nyuma, niliuliza swali. Hili hapa:



Leo asubuhi nilipata email kutoka Dudumizi, kuwa reservation zimeanza. Nilipiga simu DuHosting, wakaelezea yafuatayo:
  • Sasa hivi wanafanya reservation, kama ulisharegister jina lolote lenye format ya .xx.tz (iwe .co.tz, .ac.tz etc). Reservation inafanywa between sasa na July 2022. Opoortunity ya kwanza inatolewa kwa wale ambao wana domain tayari, na majina lazima yamatch (kama ilikuwa samedi.co.tz, utaweza kuregister samedi.tz)
  • Next in line ni wale wenye trademark. Kama uliregister BRELA, unaweza kuclaim .tz domain hata kama ulikuwa hujaregister awali.
  • Mwisho itawekwa open kwa raia baada ya mwezi wa saba.
Kuna majina ambayo yamekuwa reserved na TCRA, kwa mfano majina ya mikoa, majina maarufu etc.

Binafsi nina furaha kuu kwa kuwa hatimaye tuna hii fursa.
 
Tsh. 95,000/= ni ghali sana kwa manunuzi ya domain pekee.. avarage price kwa TLD including .com, .net, .org providers dunian ni kati ya 5$ - 9usd

Ni aibu kubwa sana kama kwel tumeshatambua nia yetu ya dhati kushindana kwenye soko la dunia ya teknolojia
 
Sasa kama .tz wanaona Ni Big deal wanauza Tsh 95,000.

Je, .go.tz wangeuza Bei g an?
 
Kweli kabisa mkuu, tutabaki kuimba "tehama, tehama".
 
Ukielewa thamani yake... Sio ghali kivile. Facebook.com ilinunuliwa kwa gharama ya $5,000 (bei ya gari hapa bongo).
 
Ukielewa thamani yake... Sio ghali kivile. Facebook.com ilinunuliwa kwa gharama ya $5,000 (bei ya gari hapa bongo).
Bado sijaelewa mantiki yako kufananisha Facebook na .tz domain extension..
Ulitaka kumaanisha nini?
Naona kama unafananisha vtu ambavyo havihusiani na mada yetu..
 
Ina thamani yake. Sababu ile ile inayofanya samsung kuwa ghali na ya thamani kuliko tecno, itel na infinix.
Apart from having hyo .tz domain kuna metrics kibao za kuzingatia behind the scene, lazma uwe vzr kweny kutengeneza concepts nzuri, webdevelopment, SEO optimization, graphics, CSS etc etc..

Unafikiri ni sawa .tz extension kuuzwa kwa bei kubwa mara 10 ya bei ya .com extension ambayo ndo most wanted na most popular dunian
 
hata con cha maana sana kinachozungumzziwa hapa. Af hawa duhosting ni ma mbwiga sana
 
Bei πŸ™†πŸ½β€β™€οΈπŸ™†πŸ½β€β™€οΈπŸ™†πŸ½β€β™€οΈ
 
Labda amemaanisha ni domain pamoja na hosting. Ila kama ni domain peke yake, ni ghali sana.
 
Hongera Yao Kwa hatua waliyofikia ila nafikiri bei ya domain sio rafiki sana ni ghali [emoji848] wangepunguza ila hii changamoto IPO sana nchini kwetu thamani za domain xinakua kubwa sana kuliko site zingine
 
Ndomana watu tunajinunulia .com zetu tunapata mpaka 0.99$ na ndo domain Maarufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…