TZ economy to surpass Kenya, forecast shows. Hongera Kikwete!


hawajafufua bali wana mpango wa kuundeleza huo mradi wa stieglers. swali. je,wana fedha za kuuendeleza au tunamtegemea cameron?
 

Sikubaliani na wewe, wawekezaji wakubwani; Kenya inaongoza
(wana miradi mingi ingawa ni midogomidogo), Uingereza na
Afrika Kusini, sasa sijui takwimu zako umezitoa wapi? Naomba
kama una reference iweke hapa JF...
 
Mdondoaji,
Mwekezaji mkubwa Tanzania ni Uingereza. Kenya is number 2. USA is number 5. Angalia tena data zako.
 

Mdondoaji,'
Katika madini, kama hatutafanya mabadiliko katika mikataba, mapato ya madini yataendelea kuwa kwenye karatasi tu huku nchi ikiambulia patupu.
 
Mdondoaji,'
Katika madini, kama hatutafanya mabadiliko katika mikataba, mapato ya madini yataendelea kuwa kwenye karatasi tu huku nchi ikiambulia patupu.

Inashangaza eti kusikia wauzaji wakubwa wa madini ya tanzanite
(madini yanayopatika Tanzania tu) ni South Africa, Kenya na India!
Mbali ya mikataba tunahitaji pia uangalizi mkubwa kwenye rasilimali
zetu...
 
Mdondoaji,
Mwekezaji mkubwa Tanzania ni Uingereza. Kenya is number 2. USA is number 5. Angalia tena data zako.


Huyu jamaa huwa andhani hapa watu wote ni vilaza kama yeye.

I reserve my comment for now
 
2030 is almost 20 years from now! Talk the urgency now.
 
Tanzania twatakiwa kuwa ya kwanza africa na duniani ndani ya top 10 interms of gdp kama tutadevelop fully resources zetu!
Kenya kuwavuka sio issue bse wako bize na Al shababy!
Alafu mnapojisifu ndani ya EA wakati ni nchi 4 tuu jamani tujilinganishe na dunia au bara la Africa
 
 
Anyway, did u, personally, bother to think just out or beyond IMF & WB projections? You should never discount or underestimates political factor in view of tranquility and stabilty. This region is predictably encamped by pending natural calamities , civil unrests (even wars) and high-level crimes. Not that they are inevitable but they are encrouch the vicinity; but no effort exists knowledgeably to fend them off.

Can u positively envision Tz in the next two/three years frm now? i.e. 10% of projected period.
 
Hivi Standard Chatered wanafanya projection,prediction,beting au kamari?
Uchumi kwenye makaratasi haunatija hata siku moja hizi ni ndoto za mchana kweupe.
Je ni mikakati hipi ccm inafanya kuondoa umaskini wa kipato,ukusefu wa ajira etc?
 
Sikubaliani na wewe, wawekezaji wakubwani; Kenya inaongoza
(wana miradi mingi ingawa ni midogomidogo), Uingereza na
Afrika Kusini, sasa sijui takwimu zako umezitoa wapi? Naomba
kama una reference iweke hapa JF...

Wewe mtu usifikiri unazungumza na mtu kihiyo. Nimekuuliza leta data zinazosema Kenya wana miradi mingi Tanzania usizungumze siasa ndugu. Anyway ngoja mie nikuambie data za World Bank zinasemaje?
1. OECD -53.8.
a. United Kingdom - 14.8-20%
b. Canada - 14%-11%
c. Japan- 4.6%
d. USA - 4.6
the rest. iliyobakia.

2. Africa:- 41%
a. South Africa - 24%
b. Kenya - 3%-7%
c. Ghana - 4.6%
d. Mauritius- 4.5%
the rest iliyobakia.

The rest of the world - 5.2%
a. Malaysia- 1.1%
b. China- 1%
c. India- 0.6%
d. UAE- 0.1%
the rest ilyobakia.

Sasa wajuaji nyie hebu niambieni hao kenya wako wapi? India investment zao hazifikii hata 1% ya total Investments hebu nipatie data zenu basi zinazosema hivyo mnavyodai. Data nenda WorldBank, IMF.
 
Plz check don't just quote.
I may physically volunteer to take u round and show few multi-milions USD Kenyan's owned projects in Dar and Arusha. Remember not all things are listed @ WB/IMF database. In fact, they're operating under many disguises (names etc) hence merely figures won't depict what's on ground.

But I do sincerely agree with u that EA community is a cheat. It is set-out and proplKed by Kenya for Kenyans. Of coz they're so covetious to our land and its related resources. Socially, we also have better ground compratively to them so speak.
 

Kaka/Dada,

Those figures World Bank na IMF wamezitoa from TIC (Tanzania Investment Centre) sasa hao wakenya mnaowaexaggerate nyie pengine wanafanya investment illegal but their investment in the country does not exceed even 5% mostly labda latest figure zitakuwa 7%. Sasa hizo biashara zengine za wakenya labda ujambazi mie sizijui lakini legitimate investment ndio hizo.
 
Mr Mdondoaji, are really ok with your brains funtioning normally? How can you conguratulate such illusive economic assumptions under a slack economy like ours? Please be sensible. Just imagine, in some areas of TZ a kilo of sugar produced in Tz costs Tsh. 1,500 more than the same kilo imported from Zambia!!! Oh my poor TZ!
 

Ni sector gani za uchumi ambazo zinasiadia kupaisha huo uchumi ambao umeshaitwa uchwara, is it a sustainable growth au ndio hii baraka aliotupa mungu tu ya mariasili. South Africa despite being rich in resources bado wana internal manufacturing to propel their growth microeconomy. Hizi ni hadithi tu amna lolote chini ya mkullo na hiwapo interest rates za mikopo si chini ya 16 percent sijui huo uchumi utapaishwa na nini. Ohh let me guess madini na wawekezaji wasio kopa ndani wala kulipa ushuru. kwa mtaji huo tutasikia tu yale tunayotaka kusikilizishwa. Ukitoa makampuni ya bia, simu na mabenki wengine ni wanyonyaji tu wanaosaidia kupaisha gdp for the time being.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…