Tz inawanawake wa maumbile mazuri chakushanga wale waishio ughaibuni hawatizamiki.

Tz inawanawake wa maumbile mazuri chakushanga wale waishio ughaibuni hawatizamiki.

Sonara

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2008
Posts
726
Reaction score
70
Nimekuwa nikijiuliza nini kunakuwa na hali kama hii hapa Tanzania? ukipita kila kona utajionea wasichana na kina mama warembo wa maumbile na sura walivyopendeza, ijapokuwa maisha ni magumu lakini hilo haliwafanyi wasionekani uzuri wao ,na hilo ndilo linalowaletea jamaa wengi wanaoishi ulaya na marekani wakifika bongo wanakuwa kama vile walio mwagiwa upupu kwa kukimbilia ngono kutoka kwa wasichana wetu wa kienyeji ,na ukiwauliza kwanini basi usifuate wale amabo mnaishi wote huko ?watakwambia ee bwana wewe nani anataka wale, tunawapigia mbio tukiwa kule tu kwani tunakuwa hatuna jinsi.
 
is it because those in tanzania are beautifull OR is it because those in tanzania are available with a minimum of effort.
 
Back
Top Bottom