Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 741
Jamani, wakenya wanatupiga vita kwenye internet wapendavo, lakini sisi hata hatujibu mashambulizi kutetea nchi yetu..naomba tushirikiane popote pale tutakapoona wanatushambulia kwenye net popote pale duniani, tujibu mashambulizi kwa hoja...
THE MAASAI MARA WILL DIE | Facebook
WEB hii hapa WAKENYA WAME POST DOCUMENT ZETU ZA TANAPA, najiuliza imekuwaje document za Tanapa zikawa mikononi mwa wakanye na wanazitumia facebook...blog yao yenye doc ni ii hapa
Boyd Norton Wilderness Photography
Nimeona facebook, asante kwa upande wangu. umekosea, aliyeweka izo doc mbili sio mkenya hapo kwenye blog yake, ni mzungu sijui ni mzungu mwenye kampuni ya utalii kenya? soma vizuri. document ingine aliyoweka ni hii.
Loliondo-Serengeti Road Report
MTU mbaya sana anayepiga vita kwa nguvu mle nimeona anaitwa Uwe Skrzypczak
ni mpiga picha sijui wa nchi gani, ndo anasambaza upupu kama nini huko nchi za nje..amepiga picha serengeti, lakini hakuna hata sehemu moja ame mention Tz, anamention kenya tu na ye ni mzungu..ajabu kweli...website zake ni hizi hapa:
1.Leaving Facebook... | Facebook
2. Leaving Facebook... | Facebook
3. Uwe Skrzypczak | Facebook
4. Leaving Facebook... | Facebook
5. Leaving Facebook... | Facebook
6. http://www.facebook.com/uwe.skrzypczak
wakenya wametushambulia huko nje hatuna hata hali nakwambia...thanks mpeni sifa yesu kwa post lakini nilishaweka yangu kama iyo..