TZ: Membe speaks the truth about Zimbabwe


Watu wakichemsha na kufanya something unbecoming in the diplomatic world tutasema tu.

Wala haituondolei msimamo kwamba Mugabe ni mfamaji.Hapa kuna maswala ya collective responsibility, chain of command, apparent subversion, accountability na answerability kayavunja.

Kwa nchi za wenzetu wanaofuatilia wapi mtu kaweka coma katika sentensi huyu bwana anaweza kuonekana anaanza kumpindua rais.Najua bongo hatujali kwa sababu hata bajeti feki zinapitishwa tu.
 
Naona BBC World leo waimeikamia habari hii: story zaidi....
Source: BBC

SteveD.
 
The action of our minister is too late; i just saw today on TBC tangazo la kuomba uchaguzi wa huru na haki Zim likiongozwa na Mwinyi na Mkapa. Sijui Member acted after that movement of good governance team (CSO) or not
 
...mtoto aliposema '...ona mfalme anatembea uchi' ndipo watu walipoangua kicheko!

uwazi na ukweli Mugabe anachemka, lakini viongozi wengi wa Afrika wamekuwa aidha wanamuogopa/wanamuonea haya kutamka hadharani! Aibu!...

Namshukuru sana Mh.Membe katamka hivyo hadharani, hata kama kuna wataomuona kakosea, lakini ukweli lazima usemwe hadharani, sio kufa na tai shingoni kusubiria itifaki.



...Paul Kagame huyo, maneno yake ya leo!
 
The action of our minister is too late; i just saw today on TBC tangazo la kuomba uchaguzi wa huru na haki Zim likiongozwa na Mwinyi na Mkapa. Sijui Member acted after that movement of good governance team (CSO) or not

Tumeombwa kuunga mkono campaign kwa kutia saini kwenye hiyo nanihiii
 

Membe yuko rights kwenye facts lakini amekosea diplomacy, ilikuwa either aseme kama msimamo wa foreign policy ya Tanzania, au anyamaze na kusubiri kuongea na wenzake.Sasa yeye kawa lukewarm, sijui anaenda kumsihi rais wafanye nini, hakutakiwa kuwaaambia watu kitu atakachomsihi rais kabla ya kuongea na rais.Hii kwa watu wanaofuatilia mambo wanaona inaweza kuwa characterized kama diplomatic blackmail au malicious subversion.

Lakini sisi wenyewe Watanzania tunaoijua colloquism nje ndani tunajua Membe anageresha tu, washaaamua na Kikwete kabla hata ya kwenda huko sasa hapa analeta danganya toto tu.

Kikwete, to his credit, anasifika kwa kutompenda Mugabe na kujaribu kumpaka.To his discredit, he is doing all this behind the scenes na siwezi kumshangaa kama sasa kaamua kumtumia Foreign Affairs Minister wake kumsemea mambo anayomuonea noma Mugabe kumpaka live.

Wajinga inawezekana wanapima maji kwanza kabla ya mkulu kutoa full mass nondo kama la Kagame hapo juu, bongo mwisho, mpaka itifaki na diplomasia yetu ya kimkanda mkanda.
 

Wakati unaandika hivi na mimi nilikuwa naandika hiyo post hapo juu, which has some coinciding points.

Lakini diplomasia gani hii ya rais kuogopa kusema anachofikiri hadharani katika situation iliyo dire kama ya Zim?

Foreign policy is not above the adage "perception influences reality" kwa hiyo watu wanaojua na kufuatilia mambo ya chain of command wakimsikiliza Membe wanaona huyu mtu hamnazo.Hata kama una baraka za rais, huwezi kusema naenda kushauriana na rais, tena hapo ndiyo unaongea mambo kama tayari ndiyo foreign policy yenu kabisa.
 
Hvi kweli kutokana na sheria za uchaguzi wa Zimbabwe, huyu Mugabe hawezi kujitoa na kumchagua mtu mwingine toka ZANU kuwakilisha chama akisingizia maradhi ama jambo lolote lile maadam atoke tu ktk Uongozi!...Kwa niniu asitumie janja ya Mwalimu Nyerere?...
Ama kweli vitu kama hivi ndio humvulia kofia mzee wangu mwalimu maanake alijua kucheza kama Pele na akatufunga magoli...
Navyofahamu mimi na jinsi cristal ball inavyonieleza, hakuna suluhu Zimbabwe hata kidogo zaidi ya Mugabe kuwa nje na huyo Morgan na MDC yake kutoshinda! Nje ya hapo Zimbabwe ni Somalia inafuatia baada ya Siad Barre...Huyu alichukiwa kama Mugabe lakini kwa sababu walitaka kumwondoa walikuwa waiuze Somalia kwa Marekani -Wasomali walishtuka na kunzisha vagi ambalo hadi leo hakuna salama.. Over 10 years sasa hivi na Somalia kama nchi imerudi nyuma miaka 50...
Yaani wakuu sioni kabisa mwanga upande wa pili wa pango hili!...
 
Tanzania, current chair of the African Union,........

Dua tuna kila obligation ya kushughulikia suala la Zimbabwe, tutake tusitake. Kwanza sisi ndio tulimuweka madarakani Mugabe, pili sisi ndio mwenyekiti wa AU, again sisi siku zote tulikuwa mstari wa mbele kuwakomboa waliomatatizo ya tawala za kibabe, why not now?
 

Mkandara,
Huyu babu hataki kabisa mtu mwingine awe Rais wa nchi hii labda baada ya kufa kwake! Yeye hakubali katakata! Kumbuka ule mkutano wa Tshololo kati ya Mnangagwa na Moyo, pamoja na wengine; mzee alistuka akasema wanataka kumpindua; moyo akapewa adhabu ya kutogombea ubunge na Mugabe. Kuona hivyo Moyo akaenda kuwa independent. Mugabe akam-handpick Grace Mujuru kuwa Vice president. Mwaka jana Simba Makoni akatangaza kuwa anataka kugombea Uchaguzi, Mugabe akamfukuza Zanu -PF akawa indepenent. So you can see the man can not dream the signs.
Wachunguzi wa mambo wanasema huyu jamaa haamini mtu yeyote atakayechukua madaraka kwa sababu ya mabaya aliyofanya hasa yale mauaji ya matebeleland ya watu 20,000.

But one thing Swahiba Mkandara, naona wewe kila kitu ni Marekani; hivi ni kipi kinakufanya uamini kuwa Marekani walitaka kuuziwa Somalia? Angalia history! Hivi Marekani amewahi kununua nchi?
 
Maneno ya FM Tanzania ni Mazuri lakini mmechelewa......

Siku nyingi hapa ndani ya JF na duniani kwa ujumla watu walishasema huyu Bob Mugabe anahitaji 'strong words of condemnation' lakini ndio kwanza viongozi wetu wa nchi za Africa mkatia pamba masikioni. Mkidhani kwamba Wazungu wanaingilia mambo ya ndani ya Zimbabwe na Afrika. 'Hero' wenu Veteran Mugabe, kidogokidogo Mugabe akajenga confidence ya ajabu na kuwa ni 'tende' lisilokubali tiba tena. Hili ni sikio la kufa.....

Mh. Membe maneno mliyoyasema ni mazuri lakini 'too little too late' kama alivyosema mchangiaji mwengine aliepita.
Mugabe ni dikteta 'asie na haya wala haoni vibaya', na kwake yeye sio ishu kuona watu wake wakiteseka ili mradi yeye yupo madarakani na anaendelea kula upepo na maisha mazuri na mkewe ambae kiumri ni sawa na binti yake . Hili jamaa ni 'PURE SELFISH'.
Natamani Mzee wa Butiama angekuwapo maana angemwita huyu Msasani na kumpaka 'choo live' na kumwambia aachie usukuni.

Mugabe amekuwa ni zigo la mavi, halibebeki tena maana kila upitapo utanuka. Ni wakati sasa viongozi wa Afrika msimae mumwambie kwa sauti moja 'enough is enough'.
Hii 'crap' ya diplomasia na mahusiano mazuri saa nyingine inabidi iwekwe kando na ukweli usemwe wazi pasi na chembe ya unafiki.

Kama Bob anadhani wazungu wanataka kutawala tena Africa kama enzi za Ukoloni, mawazo yake hayo ni mgando na yamepitwa na wakati, maana jamaa wana mbinu zingine kabisa za kutawala na kuifluence policy making ktka Africa.

Cha muhimu ni sisi Waafrika kuungana na kuwa na sauti moja hii ndio njia pekee ya kupunguza ukoloni mambo leo, lakini pia hatuwezi kumuacha mtu mmoja akitesa watu wake na kuharibu jina zima la Afrika kwa ukatili wake.

GO MUGABE GO!!!!! WE DON'T NEED U NO MORE!!!!!!
 
issue hapa ni Membe kasema kweli!! hayo mengine ni intellectual exercises za JF!. Mbona mnakuwa na "mentality ya ukikimbia nchale, ukaa nchale......" yaani hata wakifanya kitu sahihi, basi mtapindisha ili mkosoe!! ktk hili mnamwonea bwana membe..

I couldnt say it better! Thanks my man!

Watu humu wana nadharia sana. Hapa hatushindanishi visomo..nani alisoma International relations au politics zaidi ya mwingine! No! It doesnt need a Harvard graduate in the department of government to know that what is happening in Zimbabwe is just Terror and not violence!

People are still stuck in the past mentalities of ukombozi! what ukombozi? This baffon is killing his own people..eti anamkomoa Bush na Brown, hiyo ni akili au ni tope? and others we are very busy supporting! Jamani wanaokufa ni waafrika wenzetu siyo wazungu. Watu mnalijua hilo?


Membe kwa sasa ni BOSS wa maforeign ministers wote wa Africa by virtue of JK being the Boss of AU. Hata wao wanajua kabisa kwamba sasa wanaonekana vituko kwenye macho ya kimataifa. Mbeki ndo kabisaaaa amekuwa hopeless...na hii quite diplomacy..Ohh...lets wait western countries will use statistics of the evets in Zimbabwe to write their books which at some point in life, our children shall use in their history classes! Hawa watu wanaouliwa kila siku kwa sababu ya political beliefs zao, has nothing to do with Bush.

Please comrades, we all have our differences on this issue, but lets not condone the death and terror of our fellow Africans in the name ya kumkomoa mzungu.

Ni kama yule bibi aliyekataa kulima shamba lake, eti watoto wa jirani zake ni wezi watamuibia mazao..guess what? yeye na mtoto wake walikufa njaa, kwa sababu alitaka kumkomoa mtoto wa jirani!

Inasikitisha sana.
 

Muungwana Pundit how do you know kama kavunja hizi diplomatic etiquittes? Unajuaje kama aliongea kabla ya kupata maelekezo ya mwajiri wake? Kifupi yeye ndiyo sauti yetu! Au unafikiri kwa nini aliajiriwa? c`on kazi ya JK siyo kutoa press conferences kwa waandishi...hiyo ni kazi ya Membe. Kwa nini usiseme kwamba Membe kaongea baada ya kuruhusiwa na Boss wake? (which is too late, but still worthy it!) maana kabla ya hapo alikuwa hajaongea in such strong words....

Membe anafanya kazi yake na kwangu mimi kaifanya vyema kabisa. Kutokana na "diplomasia yetu ya kiafrica" ya "ubrotherhood". Kama ni unafiki hakuna nchi isiyo na unafiki kwenye diplomasia na naweza sema viongozi wetu wameiga vyema kabisa sytle ya hao hao western powers. Unafiki is the rule of the game in international diplomacy..we need not go to Fletcher school of diplomacy to know that......Sasa kama mpaka leo Bush anakwambia Iraq na Afghanistan there is "peace and freedom" baada ya US kufanya regime change..unategemea Membe kijana wa Lindi akwambie nini?

No... theories na reality ni tofauti sana......your arguments are good for academic exercise, but they cant work in the real world we live in!
 
Pundit,
When the first killing started in Rwanda, is when the UN peacekeeping forces started withdrawal from Rwanda; paving for Diplomacy to work. At a time when 100,000 people were dead still the UN officials were still plying between Geneva and New York; smiling and having short meetings in suits. At a staggaring number of 300,000 death; the diplomats were still looking for a solution! Then 800,000 people were killed, our UN said we have to deploy forces; at a time there was no one to kill!

Compare with this: NATO after knowing there was too much talk in the UN especially from the so called rogue nations in the UN (Too much democracy/diplomacy in UN); they knew that Milosovec will go on cleansing the minorities in the former Yugoslavia. They NATO head of states set down not more than a week, they rescued that cleansing.

For Mugabe dilomacy is the waste of time!

Three days ago when Condolese Rice met Raila Odinga you know what Raila suggested? guess!
 


Mkuu you spot it!

At times I have a very different views with the so called international diplomacy. Sijui wenzangu mnasemaje, lakini mimi nikiangalia Darfur, Zimbabwe et al..I just get a second thought on the whole essence of international diplomacy. We may hate US and its friends, but at times, mimi kuna mambo wanayoyafanya, naona OK kabisa! kama swala la NATO na Kosovo...I think UN was just useless, so is Rwanda and Now Darfur! Leo Bush angeamua kuingia kwa nguvu Darfur, I would highly welcome it. Watu wanakufa huko Darfur jamani si utani ati wa CNN!There is real killing!
 
Membe ameharibu itifaki ya ndani ya nchi na ameshindwa kuwasilisha ujumbe kwa jumuiya ya Mataifa.

Foreign minister hawezi kuahidi jumuiya ya Mataifa kwamba anaenda kumwambia bosi wake achukue hatua kwa vile yeye Membe anaona Zimbabwe inahitaji kuokolewa.

Membe kusema Zimbabwe inahitaji kuokolewa ni kutamka position ya Tanzania kwamba haturidhishwi na hali ya Zimbabwe.

Sasa Taifa likishatamka kwamba haliridhishwi na hali ya Zimbabwe haliwezi tena likasema hapo hapo kwamba Waziri atamshauri Rais achukue hatua. Kama hiyo ndio position ya nchi - Zimbabwe inahitaji kuokolewa - basi hakuna kushawishiana tena kuhusu kuchukua hatua. Si mbesha kubali tatizo? Huko ni kuchemsha. Membe amewahi kufanya kazi foreign affairs, kwa nini anatuabisha, tunaonekana mataifa ya vilaza, hata vitu vidogo vinatushinda?

Itifaki ya hapa ni rahisi, rahisi mno. Foreign minister anaiongolea nchi. Kama anachotaka kifanyike inabidi amshawishi Mkuu wa nchi basi hatakiwi kuahidi chochote. The most he coulda said, if pressed, ni "nitapeleka ujumbe." Mwisho wa hadithi.
 

Kuhani,
What I understand: Before head of states meeting about Zimbabwe there was a ministers meeting. The Ministers meetings agenda was discussed; then Ministers agreed that their head of states are going to be briefed in such a manner approprately. Angalia hapo juu kuna mtu kishasema, maybe even before this meeting with these ministers his boss had a meeting with him. In such issues it is normal. For Mugabe Mr. Membe said the right thing! note that the message is directed to ordinary people who are dying, and not elites like you!
 

What you understand is wrong, and the guesswork is not compelling!

We're talking about Membe's statements following the Minister's meeting, not Presidents. Membe said that they are going to tell their presidents to take actions to save Zimbabwe. Does that sound like "briefing" the Presidents?

We're talking about Membe's protocol gaffe, not whether Zimbabweans are dying or not. And in the spirit of diplomacy, we 'll bypass your amateurish 'elite' shot at me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…