Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Hahaha..poor Nigerians represent an insiginificant portion of tourism in Tz. If they feel special let them go elsewhere. Tanzania is a premium tourism destinationYaani wewe unajaribu kucompete na Nigeria? Uko sawa kweli? Tanzania is nothing to Nigeria. Even Kenya is nothing to Nigeria. Sasa ni nani unatolea hii hasira yote. Unadhani wealthy tourists wa Nigeria wanajali eti kwa sababu a shit-hole LDC country in East Africa imewakataza visa free entry. You must think your country is heaven. Wanigeria wengi wanaenda America au Britain holiday kwa sababu wanaeza afford. Life will move on even if they don't come to T.Z.
Kila nchi inataratibu zake za uhamiaji na hakuna mkataba wowote unalazimisha nchi kutoa taarifa za awali. Kama kuna mnaigeria ana nia na vigezo vyote, afuate taratibu ataruhusiwa au atakataliwa, no guarantee.
Hakuna biashara hapo wala nini, wanaotaka biashara hawakurupuki bila kuuliza maswala ya uhamiaji kabla ya safari.Taratibu na sheria hutolewa taarifa, sio kuzitunga kimya kimya na kunyamaza huku ukichanganya watu. Acheni hasira kwenye biashara.
I don't know but to me Nigeria is just a Poor country,I mean Poor third world country,
Sasa Imagine vile tumekaza kidogo tu povu lililomwagika aisee Huko mitandaoni hakukaliki,
Ni povu la hatare, kuanzia Kenya hadi Nigeria
Tanzania ni nchi ya Asali na maziwa .
Yaani wewe unajaribu kucompete na Nigeria? Uko sawa kweli? Tanzania is nothing to Nigeria. Even Kenya is nothing to Nigeria. Sasa ni nani unatolea hii hasira yote. Unadhani wealthy tourists wa Nigeria wanajali eti kwa sababu a shit-hole LDC country in East Africa imewakataza visa free entry. You must think your country is heaven. Wanigeria wengi wanaenda America au Britain holiday kwa sababu wanaeza afford. Life will move on even if they don't come to T.Z.
Taratibu na sheria hutolewa taarifa, sio kuzitunga kimya kimya na kunyamaza huku ukichanganya watu. Acheni hasira kwenye biashara.
Hichi kimombo nifundishwe na mmmbona una MAWAZO ya kinyonge kaka? no one is nothing or superior to another. we need to change our way of thinking. we need to be confident on ourselves. no one can SEE you is something, before yourselves in first place recognise your importance.
remember no country is self sufficient but self reliance.
Hakuna biashara hapo wala nini, wanaotaka biashara hawakurupuki bila kuuliza maswala ya uhamiaji kabla ya safari.
Tatizo makada mnatetea bila kujua wanacholalamika, hilo la kuuliza kabla ya safari ndilo walikua wanafanya na kupata taarifa za utaratibu wa awali maana kwa hasira zenu mumefanya kwa kasi na kukosa kutolea taarifa hata kwenye mashirika ya ndege.
Teh teh teh tihiii
mashirika ya ndege yanahusika na NINI?
Ahaaa haaa haaa
usipojua UTARATIBU hilo siyo tatizo letu. they had to ask to the relevant organizations.
Tanzania ya leo kila kitu ni kasi, uchumi kasi, maendeleo kasi hata mabasi ya abiria ni kasi bia. [emoji23]Tatizo makada mnatetea bila kujua wanacholalamika, hilo la kuuliza kabla ya safari ndilo walikua wanafanya na kupata taarifa za utaratibu wa awali maana kwa hasira zenu mumefanya kwa kasi na kukosa kutolea taarifa hata kwenye mashirika ya ndege.
Ipi hizo ikiwa hata balozi wenu Nigeria mumemshtukiza, waswahili huwa mnanipa raha sana...hehehe.
Kumbe unaweza kuandika zaidi ya paragraph moja.Ahaaa haaa haaa
wewe kazi za jua kali zimekuharibu. hujui chain of command. mabalozi KAZI yao kubwa ni kufuatilia changes of policy, laws and regulations regarding their ministry. if there is one, it's their duty to share with their stakeholders.
Teh teh teh tihiii
for the Nigerians no one is regrating on what have happened. wametumia VIBAYA mno huo upendeleo. mara kadhaa tuliwakamata na madawa ya kulevya.
Kwa hiyo Tanzania tufute huo utaratibu? Au iombe msamaha?.Taratibu na sheria hutolewa taarifa, sio kuzitunga kimya kimya na kunyamaza huku ukichanganya watu. Acheni hasira kwenye biashara.
Kwa hiyo Tanzania tufute huo utaratibu? Au iombe msamaha?.
Good advice.Hata Watanzania wakienda Nigeria wanatakiwa kuwa na visa issued in Tanzania.
Kenya muwachangamkie Wanigeria, watawasaidia kukuza uchumi.
Hakuna kisasi hapo. Ndio maana nimekuuliza hao wanaijeria wanataka msamaha au utaribu mpya usitishwe?. Pili wao watafuta utaratibu kwa watanzania kuomba visa kabla ya kwenda kwao?Cha msingi ni muache kukurupuka kwa visasi, basi....