Tz shooting themselves in the foot

Hapa ndio utajua jinsi gani Tz ina nguvu Africa na hauwezi kui sideline, wamenyimwa visa free entry tu wanalia kiasi kwamba utafkiri wameandikiwa death sentence, Tanzania is a gateway of the world best wonders and luxuries you can't find anywhere in the world
 
Tz haina any power or influence in Africa, wacha bangi. Hapa what you guys are doing is self distraction, Nigeria can retaliate in 100 different ways, things of this level require a good level of respect, ni vizuri balozi wenu angejulisha Nigeria awali. Things have protocol , si kufanya vitu without planning & doing a risk analysis!.
Magu ako kwa loading zone ya dictator. Hamna bahati!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Tz hudhani inchi zote ni kama kenya where they can mess with them.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] They don't know wao ni siafu hapa Africa. They hide under the shadow of kenya na wanataka kuchokoza the Giant of Africa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna kisasi hapo. Ndio maana nimekuuliza hao wanaijeria wanataka msamaha au utaribu mpya usitishwe?. Pili wao watafuta utaratibu kwa watanzania kuomba visa kabla ya kwenda kwao?

Kama wenzako naona aidha unajitoa ufahamu ilmradi au utakua na mapungufu kwenye uwezo wa kuelewa.
Tanzania ni nchi huru na inayo uhuru wa kutunga sheria au kuibuka na taratibu zozote muda wowote siku yoyote tena bila ya kuomba ushauri kutoka kwa yeyote.
Tatizo mnakurupuka kwa kutunga hizo sheria bila kutoa taarifa kwamba mumebadilisha sheria, watu wanaishia kujua sheria zenu mpya wakati wanatua uwanja wenu wa ndege, mnaonyesha mlivyo wazembe na wakurupukaji.
 
Tanzania has fallen to the abhorrent political strategies which cost the national economies and its international diplomacy
 
Tz haina influence Africa na naona karibu kila nchi inafuata nyayo za Magufuli?[emoji23] Hapo Kenya tu sonko alisema atafanya kazi kama Magufuli, Raisi wenu kila siku analazimishwa na wakenya awe kama magufuli, tulifannya mageuzi kwenye madini na kubadilisha sheria, next thing I know karibia kila nchi Africa imefanya/iko katika mazungumzo ya kufanya mabadiliko ya sheria za madini ie.Congo Ghana etc
 
Are you really Kenyan or Tanzanian coz you never talk any good of your country, you're always saying negative things against your motherland.we need to be patriotic sometime that's why I doubt your nationality
 
πŸ˜‚you must be new to JF. That filth si mkenya, ni a wanna be Kenyan, useless bongolala, suffering from self-pity does not have enough courage to identify as a Tz. Low life kabisa!
 
πŸ˜‚you must be new to JF. That filth si mkenya, ni a wanna be Kenyan, useless bongolala, suffering from self-pity does not have enough courage to identify as a Tz. Low life kabisa!

Teh teh teh tihiii
povu punguza povuu.

Ahaaa haaa haaa
SINDANO za jamaa zimekuingia ndo MAANA uko na uchungu.
 
Are you really Kenyan or Tanzanian coz you never talk any good of your country, you're always saying negative things against your motherland.we need to be patriotic sometime that's why I doubt your nationality
This is an LDC dweller. The fact that he knows a lot about Kenya doesn't mean he is Kenyan. He schooled in Kenya. He just confused his id. Yeye ni mchagga kutoka tanzagiza.Mchang'aa akili punguani.we don't have these kind of elements in Kenya
 
Eti "giants of africa"!!,wakenya akili zenu sijui zipoje,kwa hiyo Nigeria unaiona ni nchi ya maana sana?
 
Reactions: Oii

Huyu jamaa alizaliwa kwa BAHATI mbaya katika failed state lakini akili yake ni timamu sana, inafanana na akili ya Nyerere.
Kenya ranked as 'failed state'
 
Huyu jamaa alizaliwa kwa BAHATI mbaya katika failed state lakini akili yake ni timamu sana, inafanana na akili ya Nyerere.
Kenya ranked as 'failed state'
πŸ˜‚πŸ˜‚si wajinga. Huyu jamma tunamfahamu... ministry ya Foreign affairs itamshugulikia arudishwe back to his LDC shithole
IP address yake iko Wazi, anaishi Kenya ilihali ye ni mTZ. One way Bus 🚌 ticket back to Bongo.
 
[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53] Ebu nikumbushe GDP yenyu na population then tulinganishe na Nigeria alafu ujue kwanini huitwa Giants.
Eti "giants of africa"!!,wakenya akili zenu sijui zipoje,kwa hiyo Nigeria unaiona ni nchi ya maana sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…