Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Doh Shikamoo KIKI
Kwahiyo keshapatikana Tz Sweet Heart au?
Hizi mambo za kunyang'anyana majina mbona mambo ya kiduanzi sana utoto mwiiingi mbona majina yako mengi.
Haya basi kama langu mmelipenda chukueni, naitwa Money Penny
Ila Mziki wa Money Penny ukiubeba jiandae, Dom kila mwezi ukafanye Mrejesho, uwe na Kipaji cha kutupa stori za town mpaka watu wakutunze wakikuona tu wanaku-admire wanacheka
Kama Leo nimeingia Ofisi zao waliponiona kuwa mimi ndio Penny kila mtu alicheka sana, maana hawajategemea mwisho wa siku wakasema mwacheni aende kila mtu akaingiza mkono mfukoni akatoa elfu 10
Dah watz wanahela ee? elfu 10 usawa huu? nikaondoka na Tsh 150,000 na Msamaha juu na God Father na watu wa Editing kha!
Afu wananiuliza eti Punda ni nani kwenye hadithi ya Mtu Chake? Penny weee najiona kuwa celebrity soon
Mje mninyang'anye mapema jina msinisubirie na mie niwe STAR...
Ndio hivyo sasa mambo ya kunyang'anyana majina me naona tunapotezeana Vocha tu, bora nikauze Soksi Instagram yaishe nijue nimeingiza hela
Sa Mnatukananana dah aibuje mimama ya miaka 30 mnatukananana na mitoto ya miaka 24 sijui 26 kisa jina!
Bwana tumechoka mambo yenu ya majina can we move on to the next chapter Puleeeesee!
Bora Nikaangalie Love and Hip Hop Atlanta wa-Bongo sijui vepe?!