Tz sweetheart ni nani?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Doh Shikamoo KIKI

Kwahiyo keshapatikana Tz Sweet Heart au?

Hizi mambo za kunyang'anyana majina mbona mambo ya kiduanzi sana utoto mwiiingi mbona majina yako mengi.

Haya basi kama langu mmelipenda chukueni, naitwa Money Penny

Ila Mziki wa Money Penny ukiubeba jiandae, Dom kila mwezi ukafanye Mrejesho, uwe na Kipaji cha kutupa stori za town mpaka watu wakutunze wakikuona tu wanaku-admire wanacheka

Kama Leo nimeingia Ofisi zao waliponiona kuwa mimi ndio Penny kila mtu alicheka sana, maana hawajategemea mwisho wa siku wakasema mwacheni aende kila mtu akaingiza mkono mfukoni akatoa elfu 10

Dah watz wanahela ee? elfu 10 usawa huu? nikaondoka na Tsh 150,000 na Msamaha juu na God Father na watu wa Editing kha!

Afu wananiuliza eti Punda ni nani kwenye hadithi ya Mtu Chake? Penny weee najiona kuwa celebrity soon

Mje mninyang'anye mapema jina msinisubirie na mie niwe STAR...

Ndio hivyo sasa mambo ya kunyang'anyana majina me naona tunapotezeana Vocha tu, bora nikauze Soksi Instagram yaishe nijue nimeingiza hela

Sa Mnatukananana dah aibuje mimama ya miaka 30 mnatukananana na mitoto ya miaka 24 sijui 26 kisa jina!

Bwana tumechoka mambo yenu ya majina can we move on to the next chapter Puleeeesee!
Bora Nikaangalie Love and Hip Hop Atlanta wa-Bongo sijui vepe?!


 
Nakuletea chai
mimi nikiwa Mdhamini wako utajuta
utasema bora ungebakia jela
nitakutumikisha weweee! acha tu
Poa tu, hata ukinambia niwe house boy au mlinzi, fresh tu.

Au kama vipi uwe hata mpiga campaigne wangu, mhamasishaji wa wananchi kama vile "dada mange" , wa kuanzisha amsha amsha JamiiForums na Instagram ""Free Free Alexander Free Free""[emoji23]
 
Poa tu, hata ukinambia niwe house boy au mlinzi, fresh tu.

Au kama vipi uwe hata mpiga campaigne wangu, mhamasishaji wa wananchi kama vile "dada mange" , wa kuanzisha amsha amsha JamiiForums na Instagram ""Free Free Alexander Free Free""[emoji23]
AKU KWANINI UPATE RAHA
NAKUPA TABU KWAHIYO NAKUPA KAZI YA KUNIPIGA PICHA POPOTE NAPOENDA DUNIANI LAZIMA UJE UNIPIGE PICHA

HIO TABU YAKE UTATAMANI UWE JELA!
 
AKU KWANINI UPATE RAHA
NAKUPA TABU KWAHIYO NAKUPA KAZI YA KUNIPIGA PICHA POPOTE NAPOENDA DUNIANI LAZIMA UJE UNIPIGE PICHA

HIO TABU YAKE UTATAMANI UWE JELA!
Sasa hapo mtihani mwingine, hio kazi ya kupiga picha utanisababishia nichungulie gereza kwa mara ya pili.

Tatizo moja sijalipangua bado nipo nje kwa dhamana, unanitia kitanzi cha pili.[emoji120]
 
watajiju

Mimi ni JF SWEETHEART πŸ’ƒπŸ˜πŸ’ƒ

Na ni bonge la Indepedent Woman tangu kabla sijaolewa..

🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…