Tz tuwekeze kwenye timu hii ya walemavu

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
Timu ya taifa ya watu wenye ulemavu 'Tembo warriors ' imefuzu nusu fainali ya mashindano ya soka la watu wenye ulemavu kwa nchi za Afrika mashariki na kati
 
Huyu jamaa wa mwanzo toka kushoto ni hatari nilimuona kwenye match ya hisani ya kiba na samatta
 
Mkuu wa mkoa wa dsm anasemaje juu ya timu hii Au haitekelezi ilan ya chama
 
Wakichkua kombe wakawa maarufu team itatekwa na makada,alafu wataanza kubolonga,
Siasa inaaribu mambo ya kitaifa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…