Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Usitoe rushwa ili upige au usipige kura. Piga 113 kutoa taarifa za rushwaTZLPGA inapenda kuonya kuwa kupuliza gesi ya kupikia ya mitungi (LPG) kwa kinywa kupitia mpira ni kitendo hatari na hakiruhusiwi. Kufanya hivyo kunaweza kusababisha gesi kuwaka, mlipuko, au madhara makubwa ya kiafya
TZLPGA inapenda kuonya kuwa kupuliza gesi ya kupikia ya mitungi (LPG) kwa kinywa kupitia mpira ni kitendo hatari na hakiruhusiwi. Kufanya hivyo kunaweza kusababisha gesi kuwaka, mlipuko, au madhara makubwa ya kiafya.