U-17 AFCON Fans 2019; Visit the Tourist Attractions in Tanzania:Serengeti, Kilimanjaro and Ngorongoro Crator

U-17 AFCON Fans 2019; Visit the Tourist Attractions in Tanzania:Serengeti, Kilimanjaro and Ngorongoro Crator

Team JPM

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2018
Posts
1,197
Reaction score
1,826
Mwaka 2019, Tanzania inaandaa mashindano makubwa ya soka la vijana barani Afrika. Mashindano haya yatatazamwa duniani kote na tutapokea wageni kutoka mabara yote. Kama Taifa, tujipange kuutangaza utalii wetu. Nje ya uwanja pawepo na banda la Mali asili na utalii ili kutangaza vivutio vyetuna kuwaelekeza wageni namna ya kufika Ngorongoro, Mikumi, Serengeti na Mlima Kilimanjaro. Banda kama hilo pia liwepo Uwanja wa Ndege wa JK Nyerere na KIA. Pia tuchapishe Fulana maalumu kutangaza mashindano hayo, vivutio vya utalii na madini yetu. T-shirt ziwe na ubora na ziuzwe kwa bei rafiki zikionesha Utanzania wetu. Kama Taifa, Tuungane Kutumia Fursa hizi. Wizara na Taasisi husika njoo inbox niwashauri nini cha kufanya kunufaika na mashindano hayo.
 
Back
Top Bottom