U-CLASS hii ni kweli?

rayman m

Senior Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
120
Reaction score
27
Nimesikia tetesi kwamba majina ya 2nd year walokosa mkopo mwaka jana then wakaomba tena yametoka hapo mjengoni kwenu, je kuna ukweli ndani yake? Nawasilisha
 
Guys nataka kuhamia u class kusoma land management and valuation, please advise me on what processes should i follow.
Iam 0762972021/0653811003
 
Guys nataka kuhamia u class kusoma land management and valuation, please advise me on what processes should i follow.
Iam 0762972021/0653811003

u clas ni kitu gani??? anyway hakunaga tena tena uclas bali kuna ardhi university!!! tungoje wadau waje!!!!
 
u clas ni kitu gani??? anyway hakunaga tena tena uclas bali kuna ardhi university!!! tungoje wadau waje!!!!

mdau kumbe unaijua sasa ungetoa mwongozo tu mapema kwamba uclas haipo tena. Tumekusoma lakini!
 
Hawa wasomi wetu wa sasa hivi majanga matupu,eti U-CLASS mweeh
 
Guys nataka kuhamia u class kusoma land management and valuation, please advise me on what processes should i follow.
Iam 0762972021/0653811003

ni vigumu kupata nafasi hiyo programu. Registration imemalizika na nafasi zimejaa na class limekuwa over-saturated kwani hata waliotaka kubadili ni wanne tu ndo walikubaliwa all being females. But hii ni tz labda utafanikiwa jaribu. Just njoo chuo utapewa maelekezo zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…