U-good boy na hii dunia isio na huruma na haki ni kujitakia dhiki tu. Ni bora kuwa chill guy mwenye ruthless approach

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Anayekuhubiria wanyonge wana nafasi yao enzini amechukua pesa zenu kajenga apartments.

Anayepaswa kukuletea maendeleo kutokana makato amenunulia fortuner ya 2012 pesa yako.

So what about you, ni kipi unacho offer? Kusalimia kila mtu mtaani? Sikufudishi uwe muharifu ila ujifunze kuwa bila ya kuwa aggressive na hii dunia, utalelewa familia.
 
That's the brutality of life can offer to those weaker souls.
 
Ila wewe
 
For real, the weak shall perish
Kabisa maana inabidi mtu aji asses na kujifanyia self evaluation yupo kundi gani kati ya wadhaifu au wenye nguvu kabla ya kuingia kwenye terrible and brutal game of life.
 
Kabisa maana inabidi mtu aji asses na kujifanyia self evaluation yupo kundi gani kati ya wadhaifu au wenye nguvu kabla ya kuingia kwenye terrible and brutal game of life.
Kabisa mkuu,

Kosa tunalofanya tuna approach maisha na attitudes zetu naturally.

Kumbe unatakiwa uwe kama kinyonga katika kuapproach maisha.

Kama ulivyosema hapo juu lazima ujia assess
 
Yeqp
Kabisa mkuu,

Kosa tunalofanya tuna approach maisha na attitudes zetu naturally.

Kumbe unatakiwa uwe kama kinyonga katika kuapproach maisha.

Kama ulivyosema hapo juu lazima ujia assess
Naam.
 
Nasoma hili andiko kwa maumivu sana.... kweli dunia imeshachanika wema wote haiwafai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…