U-Kamanda wa CCM

Inawezekana pia kuwa ni njia mojawapo ya wakubwa wa CCM kutengeneza pesa kutokana na tenda ya ya kushona sare hizo. Sare za CCM zinakumbushia miaka ya 1940s na wafuasi wa chama cha NAZI cha Hitler. Naomba kisielekee huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…