Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo hiyo tu. Tunauza nini kwenye soko la Marekani? Miaka yote ya AGOA tumeshindwa hata kufufua viwanda vya nguo.Asa sisi tunachangia nini?? Tupo kwenye panel??
Hiyo ya ukoloni si ahbari ena acheni uzembe.Taiwan,Hong Kong,South Africa, S korea, etc hazijawahi kuwa huru..kutoka kwa mkoloni mmoja hadi mbabe wa kichina.Yaani wamerudishwa kutawaliwa na mtu aliyepo nyuma kuliko wao ktk kila nyanja zaidi ya wingi wa watu.China wenyewe na nchi nyingine km thailand,malaysia, etc walipata uhuru na sisi na baada yetu.Utumwa wetu ni ktk fikra,kugushi,kujifunza vitu nusu nusu, na kuviacha kukimbilia vingine,kuambina ujinga na wengine kutusupportViongozi wa Afrika wametumia hii platform vizuri. 1.Moja kuonyesha media hazionyeshi mambo mazuri ya Africa yanayoendelea na kuonyesha Afrika ni umaskini,magonjwa ,vita tuuuuuuu.Kwa maswali ambayo watu wengi huwa tunapata toka kwa walio USA mengi ni ya kudharirisha...nimewahi ulizwa kuwa kwetu nilikuwa naishi juu ya miti na mtu aliyeniuliza alikuwa nia nzuri ila ndo ulikuwa uelewa wake. Afrika kuna mabadiliko makubwa ndani ya miaka 10 hivi,ni tofauti ilivyokuwa miaka 50 iliyopita. 2.Pili ni vema kujua kuwa Africa ilikuwa chini ya ukoloni pace yake haiwezi kuwa sawa na zile nchi zilizokuwa zikiitawala just miaka isiyozidi 50 iliyopita. 3.Kwenye majukwaa ya siasa ukiwa na limited time sio lazima ujibu swali kama lilivyo unatakiwa kujua motive ya swali na impact ya majibu.JK kajitahidi crash mara moja swala la ebola kuwa kama liko afrika kama nchi ,afrika ina nchi takribani 54.....USA haiko answerable na matatizo ya Mexico ingawa ujirani mwema ...Tanzania haiwezi kukosa utalii kwa swali kama hili ingawa unaweza kusema measure ulizochukua kwanza kujikinga pili kusaidia wezetu Afrika walio athirika JK kajitahidi kuelewa impact ya swali ...kumbuka you need investors in your country,huwezi acha matatizo ya nchi mbili to display africa in general.USA vijana wanauwa wezao mashuleni kwenye movie cinema lakini haziwi labeled kama nchi isiyo na amani .Media zimetakiwa ku display mazuri pia ya nchi za africa pamoja na trend... Kila mtu anakubali Afrika haipo kama tuitakavyo ila tunasonga mbele na tukishirikiana tutafika. JK kawakilisha vyema
Very right.Africa itasonga mbele iwapo tutaondokana na our very imminent way of thinking,approach things and solve them. The King.
Hiyo ya ukoloni si ahbari ena acheni uzembe.Taiwan,Hong Kong,South Africa, S korea, etc hazijawahi kuwa huru..kutoka kwa mkoloni mmoja hadi mbabe wa kichina.Yaani wamerudishwa kutawaliwa na mtu aliyepo nyuma kuliko wao ktk kila nyanja zaidi ya wingi wa watu.China wenyewe na nchi nyingine km thailand,malaysia, etc walipata uhuru na sisi na baada yetu.Utumwa wetu ni ktk fikra,kugushi,kujifunza vitu nusu nusu, na kuviacha kukimbilia vingine,kuambina ujinga na wengine kutusupport
Jamaa wa Senegal kajieleza vizuri sana
Kagame si smart sana ktk kujibu na kujielezea na kukomaa na mipango yake.I concur, Ngoja nisikilize Kagame
Viongozi wa Afrika wametumia hii platform vizuri.
1.Moja kuonyesha media hazionyeshi mambo mazuri ya Africa yanayoendelea na kuonyesha Afrika ni umaskini,magonjwa ,vita tuuuuuuu.Kwa maswali ambayo watu wengi huwa tunapata toka kwa walio USA mengi ni ya kudharirisha...nimewahi ulizwa kuwa kwetu nilikuwa naishi juu ya miti na mtu aliyeniuliza alikuwa nia nzuri ila ndo ulikuwa uelewa wake.
Afrika kuna mabadiliko makubwa ndani ya miaka 10 hivi,ni tofauti ilivyokuwa miaka 50 iliyopita.
2.Pili ni vema kujua kuwa Africa ilikuwa chini ya ukoloni pace yake haiwezi kuwa sawa na zile nchi zilizokuwa zikiitawala just miaka isiyozidi 50 iliyopita.
3.Kwenye majukwaa ya siasa ukiwa na limited time sio lazima ujibu swali kama lilivyo unatakiwa kujua motive ya swali na impact ya majibu.JK kajitahidi crash mara moja swala la ebola kuwa kama liko afrika kama nchi ,afrika ina nchi takribani 54.....USA haiko answerable na matatizo ya Mexico ingawa ujirani mwema ...Tanzania haiwezi kukosa utalii kwa swali kama hili ingawa unaweza kusema measure ulizochukua kwanza kujikinga pili kusaidia wezetu Afrika walio athirika JK kajitahidi kuelewa impact ya swali ...kumbuka you need investors in your country,huwezi acha matatizo ya nchi mbili to display africa in general.USA vijana wanauwa wezao mashuleni kwenye movie cinema lakini haziwi labeled kama nchi isiyo na amani .Media zimetakiwa ku display mazuri pia ya nchi za africa pamoja na trend...
Kila mtu anakubali Afrika haipo kama tuitakavyo ila tunasonga mbele na tukishirikiana tutafika.
JK kawakilisha vyema
The president of Senegal is a real president
I am disappointed: JK and JZ
Haha..usizunguke sana.Utakuwa unalazimisha sana hoja yako ipate huruma.Ni kwamba hatujui tunataka nini na lini tutapata na tukipata tufanye nini kingine.Kwa taifa maendeleo ni kupanga,kuwa na jamii yenye fikra sahihi zinaleta ujumla unaweza pimwa km fikra za taifa.PENGINE hujui tuu kuwa TAIFA LINA THINK na Taifa linawajibika na vyote vinapimwa kwa net effects za hizo parameters na nyingine.Unapokuwa na fikra mbovumbovu kuanzia kwa viongozi hadi kwa raia muhimu mzigo unakuwa mkubwa sana kwa waajibikaji na wneye fikra sahihi na bidii.Ndio maana huwa waafrica wanadanyana na kuficha uchafu wao wa kushirikiana madai YAO WANAOGOPA AIBU.Ukiwa na mipango sahihi unaweza mmanipulate hata mnyonyaji wako akajenga mahusiano yanayokaribia kuwa na mutual benefits,kipindi kikifika cha kumtema basi unakwenda mwenyewe.Ila ukiwa na tabia za kimaendeleo bahati na kila kitu kinakufuata.Ndio maana kuna watu wengine wanafanikiwa ktk mazingira si tuu yasiyowasaidia ila yanayowapiga vita.Ndio maana leo Uswisi wanauza vitu km chocolate,cheese,kuhifadhi hela, saa etc bila hayo material ila wanatoa misaa kwa mataifa makubwa kuliko wao.Finland wanauza Heineken, Nokia ,hadi juzi walipiuza na sasa kuna games.Sijui km unajua utajiri unaozunguka hizo kampuni.Sasa hapa waswahili hawaoni kuwa Mengi na akina bakhresa wanweza kuwa na makampuni yanayoweza chukua hela duniani kote na kuzileta nchini.Ingawa tofauti na akina Mengi waasia hupend akuahama nchi.of course hata USA walitawaliwa ila wana miaka kama 200 ya uhuru. Nchi kama Malyasia nadhani wamepata uhuru kama Tanganyika na wamefanya maendeleo. Point ni kuwa athari za kutawaliwa ni nyingi na huwezi kusema hazina impact katika kinachoendelea katika nchi zilizotawaliwa...adui mkubwa ujinga bado hajatoka kuna kazi ya kutoa elimu kwa nguvu kazi zetu asilimia ngapi ya 45million Tanzania wana elimu ya form six ,ama diploma fulani au degree ?Moja ya sababu ya wananchi kuchagua viongozi wabovu ni ujinga ambao ni wengi na wale wenye elimu huwachagua kutokana na kunufaika kwa namna moja au nyingine. Wako watu ambao wangeweza kuwa ama kugombea uongozi fulani ila wanofaa hawawezi pita maana wapiga kura wengi ni wajinga,wanajua mzuri ni yule anayewapikia pilau na fulana pindi ya uchaguzi.Na kwa sasa mwanasiasi asiyeweza wadanganya group la vijana hata awe mzuri vipi hapiti maana ndio group kubwa na bado halijaelimika vizuri.Na wanasiasa ku take advantage ya wapiga kura ni wote duniani ,ila huangalia demographic ,kama wajinga ni wachache hutumia mbinu stahili na mara nyingi huwa ni mtu makini kwa sababu hatokani na wajinga. Kuna mtu anaongelea viwanda,...wewe nishati ya kuwashia taa tuu huna unataka viwanda ,si utatoa vitu vya gharama kubwa ...Mwekezaji ni watu binafsi na makampuni huangalia pamoja na operational cost,upatikanaji wa mali ghafi ,hali ya kisiasa, uhalifu nguvukazi n.k. Kwa Tanzania upatikanaji wa gas inaweza saidia sana kuvutia wawekezaji si wa kuchimba gas tu bali hata wa viwanda vingine kwa kuwa mali ghafi ziko na nishati itakuwepo . Siasa bora ,mikakati bora itasaidia sana...