2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,718
Inawezekana siyo mmarekani Ila anajaribu kuwapa mwanga vilaza ...ili ukiona jamaa wanajihusisha na kila Vita mjue wanapata za kuimarisha uchumiWEWE NI MMAREKANI KWANI
Kuna kuimarisha uchumi na kuporomosha uchumi yote ni matokeo ya kujiingiza katika migogoro mingi isiyo kuhusu moja kwa moja.Inawezekana siyo mmarekani Ila anajaribu kuwapa mwanga vilaza ...ili ukiona jamaa wanajihusisha na kila Vita mjue wanapata za kuimarisha uchumi
US war economy.Share of global arms exports between 2019-23.
๐บ๐ธ US: 42%
๐ซ๐ท France: 11%
๐ท๐บ Russia: 11%
๐จ๐ณ China: 5.8%
๐ฉ๐ช Germany: 5.6%
๐ฎ๐น Italy: 4.3%
๐ฌ๐ง UK: 3.7%
๐ช๐ธ Spain: 2.7%
๐ฎ๐ฑ Israel: 2.4%
๐ฐ๐ท South Korea: 2%
๐น๐ท Turkey: 1.6%
๐ณ๐ฑ Netherlands: 1.2%
๐ธ๐ช Sweden: 0.8%
๐ต๐ฑ Poland: 0.7%
View attachment 2933513
Source: @spectatorindex
Ingekuwa wanaporomosha Wala wasingejihusisha na hiyo migogoroKuna kuimarisha uchumi na kuporomosha uchumi yote ni matokeo ya kujiingiza katika migogoro mingi isiyo kuhusu moja kwa moja.