U.S. Secretary of State John Kerry and China's Foreign Minister Wang Yi to visit Kenya this month

U.S. Secretary of State John Kerry and China's Foreign Minister Wang Yi to visit Kenya this month

nyangau mkenya

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
1,056
Reaction score
1,296
NAIROBI, Aug. 7 (Xinhua) -- Chinese and United States top diplomats are due in Kenya on separate dates this month as the East African nation intensifies her foreign engagements, a Kenyan official said on Sunday.

State House Spokesman Manoah Esipisu told journalists in Nairobi that China's Foreign Minister Wang Yi will visit Kenya from Tuesday, noting that Wang's visit will focus on trade and investment.

He said Beijing is a big trade partner, and has supported a number of significant initiatives in the country's infrastructure sector.

Esipisu said that U.S. Secretary of State John Kerry is expected in the country within the month.

He said the exact dates of Kerry's visit, which is expected to focus on regional issues, will be confirmed in due course.

"Matters we expect to be discussed at his meetings with our president and foreign affairs minister Amina Mohammed will include security, regional and international relations, and especially the recent upheaval in South Sudan as well as the developments in Somalia," he said.

"Both China and the United States are allies and friends of long standing. I am sure Kenyans will welcome their representatives most warmly," Esipisu said.
 
Tunawakaribisha ila na wao wamezidi, ilisemekana Kenya tunakwepa risasi na mabomu kila siku, sasa hawa wanapanga foleni za kuja Kenya, mbona hawaogopi.
 
Tunawakaribisha ila na wao wamezidi, ilisemekana Kenya tunakwepa risasi na mabomu kila siku, sasa hawa wanapanga foleni za kuja Kenya, mbona hawaogopi.

I think there's something big about to happen, I guess they are coming to impress on Kenya to change direction or support Kenya's plan etc, something planned coming soon, (surprise ,surprise).....EAC has become a shitty jungle of lawlessness both in matters political and economic!
I think they want to give a road map on restoration of ORDER!
Lets watch!
Please read latest WIKILEAKS release (diplomatic cables) concerning the region.
 
Tunawakaribisha ila na wao wamezidi, ilisemekana Kenya tunakwepa risasi na mabomu kila siku, sasa hawa wanapanga foleni za kuja Kenya, mbona hawaogopi.

Acheni kufanya watu mazuzu, wanakuja kwa sabubu ya South Sudan. Both Kenya na China wana interest kwenye sekta ya mafuta South Sudan.
 
Acheni kufanya watu mazuzu, wanakuja kwa sabubu ya South Sudan. Both Kenya na China wana interest kwenye sekta ya mafuta South Sudan.
Mbona msiwaambie wakwende huko Sudan Kusini, au washukie kwenye mataifa yaliyopakana na Sudan maana yapo mengi tu kama Ethiopia na Uganda.
Ufahamu Kenya ndio baba yenu, kila anayetaka dili ukanda wote huu lazima ashukie Kenya ili tumpe michongo na ramani ya wapi pa kwenda. Hata wakati wanafuata Tanzanite ya Tanzania, inabidi washukie Kenya, ama kama wanataka kukwea mlima Kilinajaro, lazima tutafune hela zao kwanza. Ukitaka umeze hutaki uteme....na bado mtakoma..
 
Nakuona mkuu kibaraka wa mzungu, keep it up!!
 
Do you really need me to answer that?
 
Wanataka wafungue military base hapo ili waivamie bongo kivita kama wanavyofanya uarabuni tushawashtukia.na tutafanya kama uturuki mkitujaribu sisi ni wabaya mno afu wapole
 
[quote uid=142457 name="MK254" post=17136994]<font color="#ff0000">Mbona msiwaambie wakwende huko Sudan Kusini</font>, au washukie kwenye mataifa yaliyopakana na Sudan maana yapo mengi tu kama Ethiopia na Uganda.<br />Ufahamu Kenya ndio baba yenu, kila anayetaka dili ukanda wote huu lazima ashukie Kenya ili tumpe michongo na ramani ya wapi pa kwenda. Hata wakati wanafuata Tanzanite ya Tanzania, inabidi washukie Kenya, ama kama wanataka kukwea mlima Kilinajaro, lazima tutafune hela zao kwanza. Ukitaka umeze hutaki uteme....na bado mtakoma..[/QUOTE]<br /><br />Do you really need me to answer that?

We sio mtu ya kenya.wakenya kiswahili yao mbovu sana!
Halafu wakenya ni watu haipendi kujisifia ujinga!
Angalia sana mkikuja hii kipande ya tanzania tutawataka mlipe kodi ya kichwa
 
Wanataka wafungue military base hapo ili waivamie bongo kivita kama wanavyofanya uarabuni tushawashtukia.na tutafanya kama uturuki mkitujaribu sisi ni wabaya mno afu wapole
Kwa mtu mwenye mawazo sumu ya kivita kama wewe, huwa hatupendi kukujibu. Lakini imenibidi kufanya hivyo ili usije ukarudia hilo tena. Ubabe wetu wa nguvu za kijeshi na zana za kivita wacha vibaki kwa makaratasi tuu maana yake kukilipuka sisi sote kwenye ukandaa huu hata hatuwezi stahimili. Uliza wanyarwanda ambao walionja tuu yao ya ndani kwa ndani.
 
Back
Top Bottom