Hakika nchi yetu "inanuka" huko kwenye jumuia ya kimataifa
Polisi waliomuua Floyd tayari wamefunguliwa mashitaka ya kuua kwa kukusudia na wapo mahabusu hadi leo, huo ndio utawala wa sheria, jiulize polisi waliomuua Akwilina wako wapi leo kama sio kupandishwa vyeo.Kabisa... inanuka kuliko waliomuua Floyd..
Imasikitisha sana
Yeye anayajua matukio tu,lakini hapendi kufahamu hatua gani zinachukuliwa.Polisi waliomuua Floyd wamefunguliwa mastaka ya kuua kwa kukusudia na wapo mahabusu hadi leo, huo ndio utawala wa sheria, jiulize polisi waliomuua Akwilina wako wapi leo kama sio kupandishwa vyeo.
Usitegemee ujio wa hao kwa wakati wowote hivi karibuni.Jamaa (mabeberu) wanakusanya data taratibu hadi kufikia ujio wa Lissu hata wakiamua kutunyoa tayari watakuwa na cha kuiambia dunia.
Kila nikimwangalia jiwe naishia kumuona akimalizia maisha gerezani na hawa wapambe mbuzi wake wakiendelea na maisha yao kwa kubadili mwelekeo kama sio wao vile.Uroho wa madaraka na kutokujiamini kwa magufuli kunaenda kuigharimu nchi nzima, wazalendo ndani ya CCM wame freez, amebaki membe tu anatishia nyau.
Polisi waliomuua Floyd wamefunguliwa mastaka ya kuua kwa kukusudia na wapo mahabusu hadi leo, huo ndio utawala wa sheria, jiulize polisi waliomuua Akwilina wako wapi leo kama sio kupandishwa vyeo.
Hawa jamaa utawawezs ndugu yangu.Unajua wangapi ambao wameuawa bila kesi?
Hii ni kwa ajili ya video kwenda viral tu....
Na hata kushtakiwa kwao kulitokana na shinikizo la maandamano...
Ama unajilazimisha upofu ama huelewi...
Wako kati ua wale wa4 wamatembea mitaani furiiiii[emoji3][emoji3]
Wajue wazungu....
Baada ya Floyd wangapi wameendelea kufa?
Waafrika zaidi ya wa4 wamenyongwa baada ya Floyd.
Bahati mbaya matendo ya kijinga yanafanywa na wachache lakini athari zake zitawaumiza wengi wasiohusika.Decisions for Tanzania by international community has been made. Implementations waits unequivocal justifications.
Msije mkasema hatukuwaambia. Tanzania haipo anga za juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hiyo ndiyo inatenganisha kati ya nchi zenye demokrasia, kama US, zenye kuwatendea haki raia wao na zinazofuata mfumo wa utawala wa sheria na zile zinazoongozwa kidikteta, kama ilivyo nchi yetu.Polisi waliomuua Floyd wamefunguliwa mastaka ya kuua kwa kukusudia na wapo mahabusu hadi leo, huo ndio utawala wa sheria, jiulize polisi waliomuua Akwilina wako wapi leo kama sio kupandishwa vyeo.
Juhudi ndiyo hizi zineanzaUsitegemee ujio wa hao kwa wakati wowote hivi karibuni.
Unachoweza kufanya, ongeza juhudi mwenyewe nchini, omba msaada wa hali na mali uweze kuweka mapambano ya nguvu wewe mwenyewe.
Lakini kutegemea wao waje, huko ni kujipa matumaini hafifu sana.