U.T.I

U.T.I

mangimweusi

Member
Joined
Sep 14, 2018
Posts
51
Reaction score
38
Habar....wan jf naomba kujua dalili za u.t.i maan czan dushelele lang km lipo powa
 
1. Haja ya kwenda choo kidogo huongezeka
2. Dalili za homa kwa mbali
3. Mkojo huwa na rangi ya mawingu, hauko clear na hutoa harufu.
4. Maunivu kabla na baada ya kukojoa
5. Mkojo kuwa na damu.
Maumivu ya wapi?je uti husababishwa na ngono zembe?
 
Haahaa kama umeoa ukapata UTI halafu mke wako hana,my friend utaeleza umepata wapi huo ugonjwa.....Mara nyingi huo ugonjwa huwapata wanawake sisi wanaume tunaupata kutoka kwao kwa sababu wao ni rahisi kuupata kutokana na nature ya maumbile yao
Na day3 nazuga naumwa malaliaa...jioni barid nalala na nguo
 
Back
Top Bottom