U.T.I

mangimweusi

Member
Joined
Sep 14, 2018
Posts
51
Reaction score
38
Habar....wan jf naomba kujua dalili za u.t.i maan czan dushelele lang km lipo powa
 
Dalili ya kwanza inakuwa kama aliyosema jiwe unawashwawashwa tu yaani
 
1. Haja ya kwenda choo kidogo huongezeka
2. Dalili za homa kwa mbali
3. Mkojo huwa na rangi ya mawingu, hauko clear na hutoa harufu.
4. Maunivu kabla na baada ya kukojoa
5. Mkojo kuwa na damu.
Maumivu ya wapi?je uti husababishwa na ngono zembe?
 
Anal sex rather
Kuto kunywa maji mengi
Wagonjwa wanaolala muda mrefu bila kutembea
Kisukari
Normal sex does not cause if one is infected?
How can anal cause UTI?
 
Haahaa kama umeoa ukapata UTI halafu mke wako hana,my friend utaeleza umepata wapi huo ugonjwa.....Mara nyingi huo ugonjwa huwapata wanawake sisi wanaume tunaupata kutoka kwao kwa sababu wao ni rahisi kuupata kutokana na nature ya maumbile yao
Na day3 nazuga naumwa malaliaa...jioni barid nalala na nguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…