U17 WWC QF Colombia vs Tananzia

U17 WWC QF Colombia vs Tananzia

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Mechi imeanza Kwa Kasi kubwa. Mpaka Sasa DK 14 COL 1-0 TAN.

Mechi imeathiriwa na Hali ya hewa, mvua ni kubwa Sana Tangu dakika ya Kwanza.
 
Dk 23 Zainabu Ally (Tan) amepigwa red card. Benchi la ufundi nawapingeza Kwa kazi nzuri lakini mmeshindwa kabisa kuwaelekeza Wachezaji namna Bora ya kuepuka red card. Wachezaji wanacheza faulu za kijinga mno Kama hii.
 
Kadi nyekundu tumekula. Sema kocha Shime ameshindwa kabisa kuongea na hawa dada zetu wanacheza sana faulo utazani mpira wa mchangani. Mecha 3 tunapewa kadi nyekundu.Hapa shughuli imeisha.
 
Kadi nyekundu tumekula. Sema kocha Shime ameshindwa kabisa kuongea na hawa dada zetu wanacheza sana faulo utazani mpira wa mchangani. Mecha 3 tunapewa kadi nyekundu.Hapa shughuli imeisha.
Unasema kweli Mkuu, hii ni kasoro kubwa Sana. Mechi 4 Kadi nyekundu 3 ni kasoro kubwa Sana. Na ukiangalia zote zinaonekana kwenye VAR, yaani wanacheza foul za ujanjujanja mwisho wa siku wanaonekana kwenye review.
Tumekula goli 3 mpaka Sasa.
 
Lakini ulisema Yanga akitolewa makundi na Al Hilal utakuwa offline mwezi mzima humu JF
 
Alafu hawa vifaranga wa columbia mbona wana mapaja mazuri mazuri🤣🤣🤣🤣
 
Mlishaambiwa na wadau hizo timu za taifa muwe mnaziacha... Ndio zinapata ushindi... Mkishaanza kuzishobokea ndipo zinapoanza kupoteza game...
 
Hivi mpira wao unavutia kweli kuutizama?
Mie naanglia mapaja ya pisi za colombia tuu hapa.🤣🤣🤣🤣 Kama huyu centre back wao jersey namba 5 anaupaja hatari

Mpira utakuwa saa kumi na moja unusu, japan na spain. Hapo kutakuwa na game sasa.
 
Back
Top Bottom