Nilimaanisha hizi za kawaida zisizohitaji bando (IPTV)Colombia vs Tanzania | Cuartos De Final | Mundial Femenino Sub 17
Unasema kweli Mkuu, hii ni kasoro kubwa Sana. Mechi 4 Kadi nyekundu 3 ni kasoro kubwa Sana. Na ukiangalia zote zinaonekana kwenye VAR, yaani wanacheza foul za ujanjujanja mwisho wa siku wanaonekana kwenye review.Kadi nyekundu tumekula. Sema kocha Shime ameshindwa kabisa kuongea na hawa dada zetu wanacheza sana faulo utazani mpira wa mchangani. Mecha 3 tunapewa kadi nyekundu.Hapa shughuli imeisha.
Hivi mpira wao unavutia kweli kuutizama?Nyekundu ya pili....aisee nidhamu hatuna kabisa.
Mie naanglia mapaja ya pisi za colombia tuu hapa.🤣🤣🤣🤣 Kama huyu centre back wao jersey namba 5 anaupaja hatariHivi mpira wao unavutia kweli kuutizama?