#COVID19 UAE: Maambukizi ya Virusi vya Corona yafikia 695,619

#COVID19 UAE: Maambukizi ya Virusi vya Corona yafikia 695,619

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Umoja wa Falme za Kiarabu umerekodi maambukizi mapya 1,334 ndani ya saa 24 zilizopita huku wagonjwa 1,396 wakipona na wanne wakipoteza maisha.

Tangu kuanza kwa janga la COVID-19 watu 1,982 wamefariki dunia na idadi ya visa imefikia 695,619. Zaidi ya 80% ya watu UAE wamepata angalau dozi moja ya Chanjo, na ambao wamechanjwa kikamilifu ni 72%.
======

The United Arab Emirates has recorded 1,334 new cases of COVID-19, 1,396 new recoveries and four virus-related deaths in the last 24 hours, according to the country’s National Crisis and Emergency Management Authority (NCEMA) on Tuesday.

A total of 695,619 cases of COVID-19 have now been recorded in the UAE.

According to NCEMA, 1,982 people have died from the virus in the UAE since the beginning of the pandemic.

The new cases were detected after 260,783 tests were carried out.

More than 80 percent of the UAE’s population of around 10 million has received at least one dose of a coronavirus vaccine, while 72 percent has been fully vaccinated, NCEMA said.

Source: Al Arabiya
 
hv kazi ya chanjo hii ya covid19 ni nini hasa ?🤔
 
Back
Top Bottom