UAE umepokea simu kutoka kwa rais wa Tanzania akilaani shambulio Dhidi ya Iran

Kaamua kuwasapoti "who are you" kwa mgongo wa nyuma.

MO29 na ile meli ya madawa ya kulevya imeiondolea kabisa kujiamini serikali ya Tanzania mbele ya Jumuiya ya Kimataifa.
 
Hivi tuna Ubalozi na Iran? Kama upo, atawapa pole au atawaambia nini nao?
 
Ukute kaongea na Steve Nyerere wa huko maana walipoona namba yake wakajua anataka aidha kudalalia kitu anachotaka kuwauzia au anataka kulia shida.

Lazima kizinga cha abaya na al oud vya Eid vilihusika baada ya maongezi.
 

13 March 2026

SHIA TANZANIA WASEMA NI DHULMA KINACHOTOKEA DUNIANI KWA SASA


View: https://m.youtube.com/watch?v=98j0zl-lA1MMaulana Sheikh Hemed Jalala azungumza mazito kuhusu Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhan ... na kuwa duniani kote dhana ya Utu inapitia changamoto kubwa kuliko ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…