Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Umoja wa Falme wa Kiarabu umezidi kuonesha umwamba katika kukuza teknolojia ya kutengeneza mvua ambapo kwa sasa wanapanda mawingu ili kutengeneza mvua.
Wataalamu wa UAE wamesema teknolojia hiyo sio tu ile ya kutuma ndege na kuweka kemikali kwenye mawingu bali ku-modify hali ya hewa kwa ujumla.
Teknolojia hiyo inatumia hygroscopic materials ambapo hufanya zoezi la kukusanya mvuko wenye maji na kutengeneza mawingu kwa haraka zaidi.
Teknolojia hii ilinza kufanyiwa tafiti mwaka 1990 na sasa imefanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Teknolojia hii inafanywa kwa njia mbili, moja wapo ni kutuma ndege angani na njia nyingine ni kuachia materials ambazo zinasaidia kwenye kutengeneza mawingu.
UAE haina uhaba wa maji safi lakini teknolojia hii.