Yokohama*Wakuu naomba mnielimishe kidogo hvi unapotaka agiza gari kutoka nje kutoka kwnye ile bei unayoiona online ni gharama gani nyingine unapaswa ziongeza mpaka ujue jumla ya pesa unayohitaji kamili mpka kufanya gari lako litembee barabarani hapa Tanzania. Tuchukulie gari mfano la dola 600 aina Nadia kutoka Yokohaa
FOB ni bei ya kunulia kule tu. Na mara nyingine wanaonyrsha hiyo. CIF ni bei ya kununulia , usafiri mpaka dar na inaurance na inspection. Kama gari linauchakavu likija bongo hela inakuwa nyingi over 100 percent ya FOB yaani zaidi ya hiyo dola 600.Kama CIF=600USD, andaa kama 600USD nyingine.
Kwenye mitandao bei zote zinaonekana,yaani unaweza kuona FOB,na pia unaweza kuona CIF.FOB ni bei ya kunulia kule tu. Na mara nyingine wanaonyrsha hiyo. CIF ni bei ya kununulia , usafiri mpaka dar na inaurance na inspection. Kama gari linauchakavu likija bongo hela inakuwa nyingi over 100 percent ya FOB yaani zaidi ya hiyo dola 600.
Mbona kidogo hivi kama mambo menyewe ndo hivi its very simple....lakini sizani kama ni kweliKama CIF=600USD, andaa kama 600USD nyingine.
Manunuz yapi ni bora kwa kutumia FOB ama CIF?FOB ni bei ya kunulia kule tu. Na mara nyingine wanaonyrsha hiyo. CIF ni bei ya kununulia , usafiri mpaka dar na inaurance na inspection. Kama gari linauchakavu likija bongo hela inakuwa nyingi over 100 percent ya FOB yaani zaidi ya hiyo dola 600.
Ukishapata gharama ya gari hadi kufikia bandari husika(FOB),chukua particular za gari hilo kama vile make,Model,mwaka wa kutengenezwa,cc n.k ingia kwenye mtandao wa Tra nenda kwenye option ya Calculation & Tools,ingiza hizo particular utapata kodi halali ya gari hiyo.Wakuu naomba mnielimishe kidogo hvi unapotaka agiza gari kutoka nje kutoka kwnye ile bei unayoiona online ni gharama gani nyingine unapaswa ziongeza mpaka ujue jumla ya pesa unayohitaji kamili mpka kufanya gari lako litembee barabarani hapa Tanzania. Tuchukulie gari mfano la dola 600 aina Nadia kutoka Yokohaa
ndio,Kwa maana hiyo makadirio mazuri ni kudouble gharama za CIF
Nimekuelewa mkuuUkishapata gharama ya gari hadi kufikia bandari husika(FOB),chukua particular za gari hilo kama vile make,Model,mwaka wa kutengenezwa,cc n.k ingia kwenye mtandao wa Tra nenda kwenye option ya Calculation & Tools,ingiza hizo particular utapata kodi halali ya gari hiyo.
Jinsi ya kuagiza gari mtandaoniWakuu naomba mnielimishe kidogo hvi unapotaka agiza gari kutoka nje kutoka kwnye ile bei unayoiona online ni gharama gani nyingine unapaswa ziongeza mpaka ujue jumla ya pesa unayohitaji kamili mpka kufanya gari lako litembee barabarani hapa Tanzania. Tuchukulie gari mfano la dola 600 aina Nadia kutoka Yokohama