MONA WA KYEN
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 340
- 271
Wakuu habari ningependa kufahamu uzoefu kidogo juu ya uagizaji magari used kWA kutumia mtandao wa be foward.
1. Huwa uinachukua mda gani toka ulipoagiza gari na mpaka unalipata?
2. Unaweza kujua mpaka kodi ya TRA+ gharama za TPA kabla ya kuwalipa pesa ya gari mtandaoni?
3. Kuna usumbufu gani hasa unaopata gari ikifika bandarini?
4. Je, uaweza kujua consumption ya mafuta kabla ya kununua gari?
5. Kuna uhusiani gani au relation iliyopo kati ya cc za engine na lita za mafuta na pia kilometer itakazotembea kwa lita?
Ni hayo tu asanteni naamini ntapata msaada kwa wajuzi