MONA WA KYEN
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 340
- 271
Shukrani sana mkuu1. Haipungui Siku 45 ila inategemea inaweza kuwa zaidi ya hapo
2. Inawezekana TRA wana kikotoo chao kinaitwa motor vehicle calculator,unaingiza detail za gari (aina ya gari, mwaka uliotengemezwa ,CC , n.k) itakuletea kiasi cha kulipia
3.Hakuna usimbufu wowote kuna clearing agents wanaohakikisha unapata gari lako ila kuna kiasi unawalipa pamoja na port charges.
4.Ndio ingia kwenye google aina ya gari MPG (mile per gallon) 4.5 ltre inatembea miles ngapi ,utaambiwa na kuna customer testimonials juu ya hzo gari watakuambia .
5. The less CC the less consumption (ingia jf garage) kuna uzi wataalam wameeleza, jinsi cc,torque, aina ya engine na uendeshaji inavyodetemine matumizi ya mafuta.
Nimeeleza kiasi ninavyojua asante.
5. Kuna uhusiani gani au relation iliyopo kati ya cc za engine na lita za mafuta na pia kilometer itakazotembea kwa lita?
Hivi naweza kuagiza hadi landcruser pia?1. Haipungui Siku 45 ila inategemea inaweza kuwa zaidi ya hapo
2. Inawezekana TRA wana kikotoo chao kinaitwa motor vehicle calculator,unaingiza detail za gari (aina ya gari, mwaka uliotengemezwa ,CC , n.k) itakuletea kiasi cha kulipia
3.Hakuna usimbufu wowote kuna clearing agents wanaohakikisha unapata gari lako ila kuna kiasi unawalipa pamoja na port charges.
4.Ndio ingia kwenye google aina ya gari MPG (mile per gallon) 4.5 ltre inatembea miles ngapi ,utaambiwa na kuna customer testimonials juu ya hzo gari watakuambia .
5. The less CC the less consumption (ingia jf garage) kuna uzi wataalam wameeleza, jinsi cc,torque, aina ya engine na uendeshaji inavyodetemine matumizi ya mafuta.
Nimeeleza kiasi ninavyojua asante.
Nahukuru kwa majibu mazuri mkuu,Mkuu umeuliza maswali mengi sana na yote yanajitaji majibu makini... labda nikujibu baadhi.
Swali namba 5.. Unapozungumzia CC kwenye gari unamaanisha ujazo wa engine yaan cubic capacity. Kwa hiyo gari kadri inavyokua na cc kubwa ndivyo consumption nayo inakua kubwa japo kuna swala la engine ina cylinder ngapi.
Kwa hiyo unaweza kuwa na magari mawili yote yana cc sawa ila cylinder zinapotofautiana consumtion za mafuta zitatofautiana.
Swali namba 4.. Ni ngumu sana kujua consumptiom ya mafuta wakati unaagiza gari. Unatakiwa ujue aina ya engine ya gari ndipo unapoweza kutafuta specification zake kwenye fuel consumption
Swali namba 2.. ukiwasiliana na watu wa clearing and forwarding wanaweza wakakufanyia full estimates za total cost japo pia kwenye website ya TRA kuna calculator ya kupiga hesabu ya kodi japo baadhi ya gharama za bandarin hazijaainishwa ila inaweza kukupa mwongozo
Swali namba 1.. inaweza kukuchukua mwezi mmoja mpaka miliwi tangu unapoagiza gari mpaka inapokufikia. Inqlategemea na speed of inspection na booking ya meli inaondoka lini
Nahukuru kwa majibu mazuri mkuu,
2.. ukiwasiliana na watu wa clearing and forwarding wanaweza wakakufanyia full estimates za total cost japo pia kwenye website ya TRA kuna calculator ya kupiga hesabu ya kodi japo baadhi ya gharama za bandarin hazijaainishwa ila inaweza kukupa mwongozo
Hivi siwezi ku-clear mwenyewe bila ya kuwatumia?
Hivi naweza kuagiza hadi landcruser pia?
nashukuru sana mkuu nimekupataNi ngumu sana boss na mara nyingi pale wanadiscourage clearing ya mtu mmoja mmoja. Lazima utawatumia tuu
We jamaa acha mikwaraHivi naweza kuagiza hadi landcruser pia?
🤣🤣🤣We jamaa acha mikwara