Uagizaji wa magari

Uagizaji wa magari

Sales93

Senior Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
146
Reaction score
73
Jamani wana jamvi naombeni mnisaidie,mimi ni mgeni kidogo wa suala la uagizaji magari toka nje...ni nini maana ya FOB?
 
Ni gharama ya kununulia gari japan bila kujumuisha gharama ya inspection na kuisafirisha.

Gharama ya kuifikisha gari dsm = gharama ya kununua gari + gharama ya inspection + gharama ya kusafirisha

Kwa maana nyingine
CIF=FOB + inspection + shipping cost

Wadau watanirekebisha hapo kama nitakuwa nimeteleza mahali
 
Sawa kaka nimekuelewa kwa hiyo kwa kifupi kirefu cha FOB ni?....
 
Jamani wana jamvi naombeni mnisaidie,mimi ni mgeni kidogo wa suala la uagizaji magari toka nje...ni nini maana ya FOB?

Free On Board (FOB) .It means
that the buyer pays for transportation of the
goods to the port of discharge.
 
Ni gharama ya kununulia gari japan bila kujumuisha gharama ya inspection na kuisafirisha.

Gharama ya kuifikisha gari dsm = gharama ya kununua gari + gharama ya inspection + gharama ya kusafirisha

Kwa maana nyingine
CIF=FOB + inspection + shipping cost

Wadau watanirekebisha hapo kama nitakuwa nimeteleza mahali

Mkuu I iliyotumika hapo Ni ya insurance na sio inspection
 
Insurance si inakuwa part of shipping mkuu?

Maisha ni kama kioo,ukicheka na yenyewe yanacheka
 
Yes na ndio maana nikakuambia kuwa hapo ina maanisha ni Insurance, hiyo ni katika
CIF-Cost, Insurance, and freight. It means the quoted price includes all that.
Na ndio maana ukiangalia kwenye bei za magari wanaandika
CIF+Inspection maana inspection haipo kwenye terms of trade......hapo vipi???
 
Nikupata kisawasawa mkuu.kumbe CIF ni FOB + insurance + freight,inspection ni nje.Nilikuwa na uelewa tofauti basi.thanks

Maisha ni kama kioo,ukicheka na yenyewe yanacheka
 
Mkuu I iliyotumika hapo Ni ya insurance na sio inspection

Watu huwa wanapiga fiksi hadi aibu! Kama hujui maana utulie, isiwe kama unampeleka shimoni. Upo sawa, I ni insurance, not inspection!!!
 
Back
Top Bottom