Ni gharama ya kununulia gari japan bila kujumuisha gharama ya inspection na kuisafirisha.
Gharama ya kuifikisha gari dsm = gharama ya kununua gari + gharama ya inspection + gharama ya kusafirisha
Kwa maana nyingine
CIF=FOB + inspection + shipping cost
Wadau watanirekebisha hapo kama nitakuwa nimeteleza mahali
Jamani wana jamvi naombeni mnisaidie,mimi ni mgeni kidogo wa suala la uagizaji magari toka nje...ni nini maana ya FOB?
Ni gharama ya kununulia gari japan bila kujumuisha gharama ya inspection na kuisafirisha.
Gharama ya kuifikisha gari dsm = gharama ya kununua gari + gharama ya inspection + gharama ya kusafirisha
Kwa maana nyingine
CIF=FOB + inspection + shipping cost
Wadau watanirekebisha hapo kama nitakuwa nimeteleza mahali
Mkuu I iliyotumika hapo Ni ya insurance na sio inspection
Insurance si inakuwa part of shipping mkuu?
Maisha ni kama kioo,ukicheka na yenyewe yanacheka
Yes na ndio maana nikakuambia kuwa hapo ina maanisha ni Insurance, hiyo ni katika
CIF-Cost, Insurance, and freight. It means the quoted price includes all that.
Na ndio maana ukiangalia kwenye bei za magari wanaandika
CIF+Inspection maana inspection haipo kwenye terms of trade......hapo vipi???
Mkuu I iliyotumika hapo Ni ya insurance na sio inspection