Click Hapa
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 479
- 206
Vinatoka nchi gani?Team,
Naomba kufahamishwa ni taratibu zipi za kisheria kwa mujibu sheria za Tanzania zinatakiwa kupitiwa ili kuweza kuagiza (to import) vinywaji kutoka nje ya nchi?
Natanguliza shukurani.
Waambie jamaa wakutumie sample pamoja na certification za registration kutoka mamlaka za chakula na dawa huko. Ukivipata hivyo vitu peleka TFDA ili kuanza utaratibu wa kuvisajili Tanzania, pia unaweza anzia TFDA ili kupata muongozo.