Uahauri kuhusu biashara ya mashuka, pazia, kapeti, na mito

Uahauri kuhusu biashara ya mashuka, pazia, kapeti, na mito

Bugeni

Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
14
Reaction score
36
Habari ndugu zangu, mm kijana wa kiume(26) napatikana Dar es salam-kigamboni, hivi karibuni nmepata wazo la kufanya biashara tajwa hapo juu lakin katika kuandaa business plan yafuatayo nayataftia majibu na ninyi nimeona ni watu sahihi kuwauliza na kupata hayo aidha katika kupeana ushauri yafuatayo ni ya kuzingatia:

○Kuhusu mtaji kiukweli nnao mdogo sana ila kwangu sio shaka maana nimejipanga kuanza kidogo kwanza.
○ naendelea kuandaa business plan maana naitazama kwa ukubwa biashara hii.
○ Ombi langu kwenu ni ushauri katika maeneo yafuatayo:

initial capital nahitaji kufungua frame.
sehemu ya soko zuri ambalo naweza kuuza hizo bidhaa
chimbo la kununulia bidhaa hizo kwa hapa dar es salaam.
sehemu ya kununulia bidhaa hizo( chimbo)
namna ya kuwafikia wateja
Kwa walio tayari kunisaidia karibuni sana ndugu zangu.
 

Attachments

  • 1732774856900.gif
    1732774856900.gif
    42 bytes · Views: 13
Chukua machimbo ya biashara ukafanye biashara (Namba za simu 600 za machimbo na location zake)!

KINAUZWA
Kitabu cha Machimbo ya Biashara
Kitabu chenye machimbo 600 ya biashara kwa TSH 15,000 tu!

Kitabu hiki kina namba za simu 600 za wauzaji wa bidhaa kwa bei nafuu, jumla na rejareja.

Jinsi ya kukipata WHATSAPP: 0612607426
CALL: 0687746471

Unaweza kupakua kitabu hiki kupitia link hii:

Kwa msaada wa kupakua, wasiliana kupitia:
WhatsApp: 0612607426
Call: 0687746471

Kitabu kina sura 68 kama ifuatavyo:

Sura ya 1 hadi 5: Machimbo ya nguo za watoto, vifaa vya ofisini (stationery), vifaa vya ujenzi (hardware), dawa (pharmacy), na vinywaji.

Sura ya 6 hadi 10: Kahawa, maremba, vifaa vya mazoezi, miwani, na nywele bandia kama rasta na wigs.

Sura ya 11 hadi 20: Shati za shifoni, viatu, kofia, gauni za usiku, vitambaa vya masofa, hereni na cheni, vyombo vya jikoni, na vifaa vya michezo.

Sura ya 21 hadi 30: Pajamas, balo za mitumba, masweta, maturubai, pipi, jeans, jezi, na vifaa vya kufungashia.

Sura ya 31 hadi 40: Toys, T-shirts, diaper, bidhaa za supermarket, manukato, madera, mitandio, abaya, hijabu, na vitenge.

Sura ya 41 hadi 50: Khanga, vitambaa vya kushona, vipodozi, nguo za watoto, pochi, vifaa vya simu, mikeka, bidhaa za wachina, na sufuria sets.

Sura ya 51 hadi 60: Chupa za maji, midoli, lubricants za magari, maduvets, mashuka, mapazia, majora ya mapazia, T-shirts zinazotrend, na bidhaa za ubuyu wa Zanzibar.

Sura ya 61 hadi 68: Maua artificial, pipi, vifaa vya masofa, bidhaa za mitumba, vifaa vya kuandaa keki, na bidhaa kutoka kwa wachina moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom